GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Mimi nitafurahi!
 
Bado nina mashaka mashaka na,
1. Bunge kusubirishwa kuvunjwa,
2. Vikao vya Ccm kusongezwa mbele,
Isije kuwa chikwele anawachenzea shele kambi nyingine ndani ya chama chao.
 
Any wrong kutoka pande yeyote ile, tunaimba umelala yooooo.
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Mkiweza hili na kura tutapiga kwa kuwa mtakua tayari kufanya reforms na nchi hii itakua nzuri saana. Haki ikitawala basi ustawi katika taifa letu utakuwa mwingi sana. Yule mstaafu na mkewe na mwanae nao waondolewe kwenye system. Maana wanatumika
 
Yes it’s complicated kama wahusika wa upande mmoja ambao by now wanatakiwa kuwa wazi lakini wafuasi wa JF mmeshindwa gundua mchezo umeanza lini (hilo sasa ni tatizo lingine).
Hapana, usikimbilie kwenye hitimisho la kijumla jumla namna hiyo. Hapa JF tuo watu mbalimbali; and in fact ungekuwa unanisoma kwa uangalifu usinge andika huo mstari hapo juu, kwa sababu 'consistently' nimekuwa nikibainisha huo "upande mmoja... wanatakiwa kuwa wazi...". Mchezo umekuwepo tokea enzi za TANU, nani asiyelijuwa hilo!
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Wasengerema nyinyi hamna uwezo huo
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Kuna watu mnaota ndoto amka wewe utajinyea
 
Sasa ni rasmi yupo mtu kati

Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa

Hakuna mtu ataweza kumteka tena

Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi

Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again.
Amekimbilia Kizimkazi...

Hopefully, final destination ni Oman kwa wajomba zake..
 
Hakuna aliyekamilika kwa kila kitu, Jiwe tulimsema Kwa mabaya mengi ambayo alioingia mama kayafanyia kazi na Sasa tunapata nguvu ya kukosoa ingawa ukionwa wanapita nawe ila at least tunaishi Kwa amani, lakini bado hatumtaki. JE, tunataka ashuke malaika aje kutuongoza?
Duh! Wewe unaishi kwa amani waPi huko?
Naona tayari unajitangaza kuja kuniteka na kuniua, halafu haPo haPo unatangaza "tunaishi kwa amani Akili yako kweli inafanya kazi sawasawa?
 
Back
Top Bottom