GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
1.Amemwaga Damu za Watanzania kuliko RAIS yeyote
2.Ameuza bandari zetu kwa waarabu
3. Ana pendelea zanzibar kuliko Tanganyika
1. Kuna ushahidi wa kuthibitisha hilo? Acheni propaganda.
2. Vipi waliouza migodi kwa Wazungu na kuacha mashimo kwa maslahi kiduchu kwa taifa letu?
3.Hili nalo ni propaganda.
 
Britanica alisema mmoja wa wagombea atakayeengeliwa ni Tulia (Spika).Hilo linawezekana ni kweli kwa Sababu anamuunga mkono Mama Samia.
Kwani kwa mujibu wa Mange Kimambi,Nchimbi anaweka watu wake ili mbele ya safari wake wamuunge mkono.
 
Back
Top Bottom