Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ukiona vyura wanatoka ardhi jua mzigo umekaribiaUkiona misafara mingi ya wadudu wadogo kama sisimizi wakihamisha makazi na wengine hata kuingia ndani ya nyumba, tambua ya kuwa muda si mrefu mvua kubwa itanyesha.
Pale milio ya ndege wadogo isiposikika ikilia kwa wingi ama kutokusikika kabisa tambua mvua kubwa inakuja.
Pale wadudu watambao ukutani, na wengine wanaoishi chini ya ardhi ukiwaona kwa wingi wanakimbilia ndani ya makazi ya watu, jiandae kwa kitu kizito.
Pale fukuto kubwa la joto linapotokea mfululizo hasa nyakati za usiku basi tambua kitu kizito kina uwezekano wa kuibuka.
Hizo mvua zitanyesha wapi mkuu? Tanzania kubwa na maeneo mengine yananyesha mvua kubwa sasa hivi.Hamjambo!
Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha.
Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli.
Haya nimemaliza.
Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hizo mvua zitanyesha wapi mkuu? Tanzania kubwa na maeneo mengine yananyesha mvua kubwa sasa hivi.
Joto limeongezeka sana week hii means mvua itanyesha...Evaporation itafanyka kwa kasi then mvuke ukienda juu unaenda kucondense kisha inarudi kama mvua.Hamjambo!
Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha.
Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli.
Haya nimemaliza.
Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu, kasoro chura kiziwi tu!Ukiona vyura wanatoka ardhi jua mzigo umekaribia
πππTena zitaambatana na upepo mkali,Kama wewe mwembamba punguza kuzurura sehemu za wazi sana, usiseme hatukukuambia