Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Mkuu hivi gharama za kulipia ili biashara itangazwe kwa wengi mtandaoni huwa zinakuaje? Na utaratibu wa kulipa huwa unakuwa ni kila baada ya muda gani?
 
Kama unataka wazo la biashara ya uhakika nicheki dm
 
Mkuu kwanza hongera kwa kuweza kuoambana Hadi kupata mtaji huo.
πŸ‘‰Cha kukushauri kaa chini tuliza kichwa, maana kila mtu ata kuja kukuambia tuwekeze hapa ni uhakika.
πŸ‘‰Ila kiuhalisia katika uwanja wa mapambano Hali ni ngumu kidogo.

Ila kwa mtaji ulio nao Jitahidi ku ugawanya ili kuweza kupunguza risk za kuendelea kuchoma pesa zaidi
πŸ‘‰Kwa maana ya kwamba usije ukadumbukiza pesa yote katika biashara 1 ukitegemea Mambo yatajipaπŸ€’. 50/50.
πŸ‘‰Unaeza ukagawanya hata ikawa 10m, 10m katika biashara 2 halafu hiyo remaining 10m ikatumika Kama back up ya biashara zako.
πŸ‘‰Maana shida sio kuanzisha biashara, ila ugumu ni kuisikamisha Hadi upate wateja. So think twice.

Pili unaeza ukajiuliza maybe una passion ya Jambo gani??, Kwanini una taka ufanye biasharaπŸ€”
πŸ‘‰Lengo ni kupata pesa tu, au ni kuonekana nawe pia ni mfanya biasharaπŸ€’πŸ˜
πŸ‘‰Wafanya biashara wengi walio toboa huzingatia katika kutoa huduma au kuleta bidhaa ambayo ita tatua au kuondoa changamoto katika jamii. Eg watu Wana hitaji sabuni ili kufua.
πŸ‘‰Maybe Kuna sehemu watu ni wazee wa starehe so unaeza ukawa distributor wa gambe πŸ€’πŸ˜.

Nitarudi kuendelea, I mean no malice to nobody mshamba_hachekwi, political Engineer 2, Ushimen, Jack Palladino Ushimen, Grahams, Mshana Jr, National Anthem, Dannion, Black Sniper
 
Mkuu hivi gharama za kulipia ili biashara itangazwe kwa wengi mtandaoni huwa zinakuaje? Na utaratibu wa kulipa huwa unakuwa ni kila baada ya muda gani?
Kwa kweli co mtaalamu wa digital marketing lakini unaweza angalia videos za maelekezo on YouTube Kuna maelekezo ya jinsi ya kufanya matangazo Fb na Insta, mimi niko na jamaa zangu wanafanya hivyo naona wanapiga sana Hela
 
Asante mkuu kwa mawazo Yako, ni mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…