Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Njoo dar uwekeze kwenye biashara ya kuuza Fanicha za ndani kama makabati bedi sofa vitanda utaifanya biashara hii mtandaoni mtaji wa m5 tu unatosha amini hautakuwa unakosa 600+ kwa mwezi wateja wanapatika fb na Insta na Whatsapp sio lazma kuwa na frame barabaran kazi Yako ni kupost bidhaa tu

NB.lazma uwe unalipia pages kwenye fb na insta ili upate wateja kiurahisi
Mkuu hivi gharama za kulipia ili biashara itangazwe kwa wengi mtandaoni huwa zinakuaje? Na utaratibu wa kulipa huwa unakuwa ni kila baada ya muda gani?
 
Uoga wako ndio umasikini wako.
Mimi niliingia kwenye biashara ya mikopo umiza bila kuhoji wala kufanya data collection.

Cha msingi nilijichunga na chuma ulete
IMG_20230802_090631_019.jpg
 
Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
Kama unataka wazo la biashara ya uhakika nicheki dm
 
Mkuu kwanza hongera kwa kuweza kuoambana Hadi kupata mtaji huo.
👉Cha kukushauri kaa chini tuliza kichwa, maana kila mtu ata kuja kukuambia tuwekeze hapa ni uhakika.
👉Ila kiuhalisia katika uwanja wa mapambano Hali ni ngumu kidogo.

Ila kwa mtaji ulio nao Jitahidi ku ugawanya ili kuweza kupunguza risk za kuendelea kuchoma pesa zaidi
👉Kwa maana ya kwamba usije ukadumbukiza pesa yote katika biashara 1 ukitegemea Mambo yatajipa🤒. 50/50.
👉Unaeza ukagawanya hata ikawa 10m, 10m katika biashara 2 halafu hiyo remaining 10m ikatumika Kama back up ya biashara zako.
👉Maana shida sio kuanzisha biashara, ila ugumu ni kuisikamisha Hadi upate wateja. So think twice.

Pili unaeza ukajiuliza maybe una passion ya Jambo gani??, Kwanini una taka ufanye biashara🤔
👉Lengo ni kupata pesa tu, au ni kuonekana nawe pia ni mfanya biashara🤒😁
👉Wafanya biashara wengi walio toboa huzingatia katika kutoa huduma au kuleta bidhaa ambayo ita tatua au kuondoa changamoto katika jamii. Eg watu Wana hitaji sabuni ili kufua.
👉Maybe Kuna sehemu watu ni wazee wa starehe so unaeza ukawa distributor wa gambe 🤒😁.

Nitarudi kuendelea, I mean no malice to nobody mshamba_hachekwi, political Engineer 2, Ushimen, Jack Palladino Ushimen, Grahams, Mshana Jr, National Anthem, Dannion, Black Sniper
 
Mkuu hivi gharama za kulipia ili biashara itangazwe kwa wengi mtandaoni huwa zinakuaje? Na utaratibu wa kulipa huwa unakuwa ni kila baada ya muda gani?
Kwa kweli co mtaalamu wa digital marketing lakini unaweza angalia videos za maelekezo on YouTube Kuna maelekezo ya jinsi ya kufanya matangazo Fb na Insta, mimi niko na jamaa zangu wanafanya hivyo naona wanapiga sana Hela
 
Mkuu kwanza hongera kwa kuweza kuoambana Hadi kupata mtaji huo.
[emoji117]Cha kukushauri kaa chini tuliza kichwa, maana kila mtu ata kuja kukuambia tuwekeze hapa ni uhakika.
[emoji117]Ila kiuhalisia katika uwanja wa mapambano Hali ni ngumu kidogo.

Ila kwa mtaji ulio nao Jitahidi ku ugawanya ili kuweza kupunguza risk za kuendelea kuchoma pesa zaidi
[emoji117]Kwa maana ya kwamba usije ukadumbukiza pesa yote katika biashara 1 ukitegemea Mambo yatajipa[emoji855]. 50/50.
[emoji117]Unaeza ukagawanya hata ikawa 10m, 10m katika biashara 2 halafu hiyo remaining 10m ikatumika Kama back up ya biashara zako.
[emoji117]Maana shida sio kuanzisha biashara, ila ugumu ni kuisikamisha Hadi upate wateja. So think twice.

Pili unaeza ukajiuliza maybe una passion ya Jambo gani??, Kwanini una taka ufanye biashara[emoji848]
[emoji117]Lengo ni kupata pesa tu, au ni kuonekana nawe pia ni mfanya biashara[emoji855][emoji16]
[emoji117]Wafanya biashara wengi walio toboa huzingatia katika kutoa huduma au kuleta bidhaa ambayo ita tatua au kuondoa changamoto katika jamii. Eg watu Wana hitaji sabuni ili kufua.
[emoji117]Maybe Kuna sehemu watu ni wazee wa starehe so unaeza ukawa distributor wa gambe [emoji855][emoji16].

Nitarudi kuendelea, I mean no malice to nobody mshamba_hachekwi, political Engineer 2, Ushimen, Jack Palladino
Asante mkuu kwa mawazo Yako, ni mazuri sana
 
Back
Top Bottom