Mkuu kwanza hongera kwa kuweza kuoambana Hadi kupata mtaji huo.
[emoji117]Cha kukushauri kaa chini tuliza kichwa, maana kila mtu ata kuja kukuambia tuwekeze hapa ni uhakika.
[emoji117]Ila kiuhalisia katika uwanja wa mapambano Hali ni ngumu kidogo.
Ila kwa mtaji ulio nao Jitahidi ku ugawanya ili kuweza kupunguza risk za kuendelea kuchoma pesa zaidi
[emoji117]Kwa maana ya kwamba usije ukadumbukiza pesa yote katika biashara 1 ukitegemea Mambo yatajipa[emoji855]. 50/50.
[emoji117]Unaeza ukagawanya hata ikawa 10m, 10m katika biashara 2 halafu hiyo remaining 10m ikatumika Kama back up ya biashara zako.
[emoji117]Maana shida sio kuanzisha biashara, ila ugumu ni kuisikamisha Hadi upate wateja. So think twice.
Pili unaeza ukajiuliza maybe una passion ya Jambo gani??, Kwanini una taka ufanye biashara[emoji848]
[emoji117]Lengo ni kupata pesa tu, au ni kuonekana nawe pia ni mfanya biashara[emoji855][emoji16]
[emoji117]Wafanya biashara wengi walio toboa huzingatia katika kutoa huduma au kuleta bidhaa ambayo ita tatua au kuondoa changamoto katika jamii. Eg watu Wana hitaji sabuni ili kufua.
[emoji117]Maybe Kuna sehemu watu ni wazee wa starehe so unaeza ukawa distributor wa gambe [emoji855][emoji16].
Nitarudi kuendelea, I mean no malice to nobody
mshamba_hachekwi,
political Engineer 2,
Ushimen,
Jack Palladino