Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Kubali tu kuwa haukuzaliwa kuwa hustler, wewe ni muoga, hauna udhubutu wowote, in short kwa uoga wako huo nenda ukaajiliwe tu.
 
Nikifikisha miaka 50's inshallah ntaandika kitabu Cha hustle zangu zote ntakiweka hapa Kwa ajili ya vijana......

Nae andika hapa muda huu Bado sio tajiri nipo uchumi wa kati wa juu πŸ˜ŠπŸ€“ just a joke....

Sorry to say πŸ˜”πŸ˜” Kuna wasomi wakinyanganywa vyeti vyao au kufukuzwa kazi waingie mtaani kupambana hawatoboi n'go.......

Tanzania Kuna fursa nyingi sana na kutoboa kuko nje nje sanaa na ndio maana wahindi wengi hata wachina wengi hukimbilia hapa bongo tena na begi la nguo pekee na baada ya miaka kadhaa wanakua matajiri wakubwa ie. Mifano ni Mingi sanaa.......

Huwa naangalia interview za watu mbali mbali ULIMWENGUNI ngoja ni rud hapa nyumbani mfano FRED VUNJABEI huwaga sio mchoyo wa hustler zake na maarifa na aki yule jamaa angekua na akili za wabongo wengi mpaka muda huu angekua serikalini asinge weza kuacha Ile kazi yake na ku take risk.....

Nacho mshukuru Mungu nime develop jicho la kuziona fursa na kuweza ku take over Tatizo LETU kubwa sisi wa Tanzania ni kutokua na exposure ya biashara Kwa tulio wengi....

Na pia walio fanikiwa wengi kwenye biashara hujitahid kuficha sana information zao Ili wengine wasiweze kutusua kama wao pengine hutoa hata taarifa za Uongo πŸ˜‚πŸ€£

Fursa zipo nyingi sana hapa nyumbani TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ utajiri wa kuokota true ni sisi tu na akili zetu ila kutoboa ni nje nje ishu ni connection kuliona tobo la kutokea...........

Wasalaam
 
Ingia sportpesa au betpawa. Mimi juzi nimevuta 200m kwa buku tu.
 
Hiyo hela huyu mtu kapata sio ya kutolea jasho, najiuliza kabisa hustler akose wazo la kuwekeza pesa yake? aaah! hapana labda huyu ni muajiriwa au kapewa ya urithi kama ulivyosema, hustler hakosagi wazo la kuzalishia pesa yake
Kabsa mkuu. Ndio maana nikamjibu hivyo. Upambane mpaka kuikamata 40M afu ukose akili ya biashara ya mtaji huo. Hapana labda kapata ya mafao, urithj, bahati na sibu au kafuma madini au kaiba
 
Tutafute kwanza sehem yenye utulivu tuchome kuku wa kienyeji wasiungue Sana wawe wa brown wakati kuku anaiva tuagize vinywaji baridi huku tukiwa tunajadili hiyo million 40 tunafanyia nini
Umeandika kama utani lakin ndo ukwel huu, mtaji wa M40 haujadiliwi chumbani πŸ˜‚
 
Mkuu umenena vyema ila ni too inspirational, ungeweza kuorodhesha hizo fulsa za kutoboa japo chache tungeshukuru sana, embu Rudi utuwekee hizo fulsa na mtaji nilionao nimeweka wazi.
 
Hiyo hela huyu mtu kapata sio ya kutolea jasho, najiuliza kabisa hustler akose wazo la kuwekeza pesa yake? aaah! hapana labda huyu ni muajiriwa au kapewa ya urithi kama ulivyosema, hustler hakosagi wazo la kuzalishia pesa yake
Ungekuwa unajua hata usingesema hivi.....consultancy siyo biashara ya kuchuuza, ni kuuza ubongo wao wakakupa hela.sasa nahitaji biashara isiyo involve taaluma yangu
 
sema biashara.. the sema ajira.. narudia kukuambia, rudia kusema tena. biashara sio mchezo. just imagine makato marejesho malipo ya wafanyakazi na ujilipe wewe mwenyewe na uonyeshe ushirikiano kwenye jamii na familia. Biashara c mchezo
Bado CCM hawajapita na michango ya mwenge na kampeni
 
ehee endelea kuandika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…