Unadhani wazungu ni kina Zuchu nini??? Jiandaeni tu kula matunda ya kupora haki za watanzania.CDM inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
Jamaa kilaza kweli. Anaongea anababaika na kutetemeka kama vile pembeni kuna jamaa amemshikia bunduki.Mimi mwenyewe nilipomsikia balozi wetu nje niliona aibu mimi [emoji1787][emoji1787]
Saivi mda wa kuokoteza kila hoja, wana jazba bado, mpaka Sief aingie katika SMZ na Dodoma Wabunge wao waende mwezi wa 6 baada ya njaa kali ndo watajua hawajuiCDM inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
Bavicha wamepotosha kitu gani.1. Ingekuwa hoja binafsi kwa huyo Mr wa EU, isingekuwa suala la public na angepelekewa barua rasmi privately. Utasema, "Si ni mjadala bungeni?" Well, ndiyo maana ya hoja ya msingi hapa kuwa haikukusudiwa kuwa kitu personal ya huyo jamaa yenu.
2. Kubabaika na kuzushazusha na kupotoshapotosha kwa BAVICHA ndiko kumemfanya Balozi ajitokeze ili kuweka mambo sawa.
3. Lastly, wakichelewa kujibu, "WANAOGOPA HAO!" Hoja zikijibiwa kwa wakati, "WANABABIKA HAO!" Nyie veeeepe??? "Ukichimama, nchale! Ukikaa nchale! Ukiinama, ukiinuka, ukikimbia, ukitembea, nchale, nchale, nchale!!"
Are you from Mars or "Juu-Peter"???Bavicha wamepotosha kitu gani.