mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,760
Tuliza mshono nyumbxxxxx wewe....CDM ndiyo bunge la Ulaya?!
Tuliza mshono nyumbxxxxx wewe....CDM ndiyo bunge la Ulaya?!
Wameulizana wenyewe vigezo vilivyotumika,sisi wananchi ndio tumejua kumbe serikali ilivuta mamilioni ya dola tena mwezi septemba,sasa tunataka kujua zilitumikaje?Hili tumeuliza sisi wananchi!1. Ingekuwa hoja binafsi kwa huyo Mr wa EU, isingekuwa suala la public na angepelekewa barua rasmi privately. Utasema, "Si ni mjadala bungeni?" Well, ndiyo maana ya hoja ya msingi hapa kuwa haikukusudiwa kuwa kitu personal ya huyo jamaa yenu.
2. Kubabaika na kuzushazusha na kupotoshapotosha kwa BAVICHA ndiko kumemfanya Balozi ajitokeze ili kuweka mambo sawa.
3. Lastly, wakichelewa kujibu, "WANAOGOPA HAO!" Hoja zikijibiwa kwa wakati, "WANABABIKA HAO!" Nyie veeeepe??? "Ukichimama, nchale! Ukikaa nchale! Ukiinama, ukiinuka, ukikimbia, ukitembea, nchale, nchale, nchale!!"
Hapo ndio utaelewa kwa nini wapo kina shangazi fatma karume lissu zitto maria sarungu na wengine wanaolazimisha utetezi wa haki za binadamu kunapo haki za binadamu. Kuna hela za bwerere toka EU na marekani ..eti wazungu wanataka their values ndio ziwe global. Wakiamua gay marriage gay rights ziwepo eti dunia nzima ifuate. Ndio maana umeona sisi tukimkubali magufuli kwa uadilifu wake na serikali yake kwenye kutuletea maendeleo lissu ana ajenda ya EU na marekani kutuletea ushoga na uhuru na haki zisizokua na mpaka. Magufuli akipambana na rushwa mahakamani vibaraka wa EU wanawaambia anaingilia uhuru wa mahakama.Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli.
Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mkiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna haja ya kukurupuka na kujibiwa na balozi tena kwa kuzikana tu bila evidence yeyote.
View attachment 1631500
Hata kama tuhuma ni yetu lkn hatukuulizwa sisi aliyeulizwa ni Rais wa Council wa EU bwana Charles Michel kuwa alitumia vigezo gani kuipatia Tanzania msaada wa €27m, sisi (balozi) tungesubiri majibu yao huku tukijiandaa kujibu jinsi tulivyozitumia kwa sababu vigezo walivyotumia kutupatia msaada havituhusu.
Tayari tumeshaonyesha dalili za mwanzo za kubabaika, kwanza balozi alikana kuwa hakukuwa na mjadala wowote kuhusu Tanzania baadaye akasema tulijadiliwa na wabunge watano 5 tu ambao hawawezi kutuwekea vikwazo, hii siyo sahihi ni sawa na kuingilia utaratibu wa uendeshaji wa bunge lao.
Nasikia balozi wetu nchini Ubeligiji kamwandikia barua bwana McAllister ya kuomba kukutana naye, well, je amejipanga with evidence kujibu tuhuma akiulizwa kwanini polisi ilitumika kuwaondoa mawakala wa upinzani vituoni?, je amejipanga with evidence akiulizwa matumizi ya €27m? Je amejiandaa with evidence kusema waliokufa kwenye uchaguzi ni wawili tu na sio 20 na hao wawili waliuawa na nani na wauaji wamechukuliwa hatua gani.
Kwani kawaida mambo yote ya bunge si huanzia kwenye kamati? Kama kamati ikikosa majibu ya kutosha ni hufuata?Mkuu labda watu hawaelewi zile ni hoja na sio maamuzi kwahiyo hoja zile zitafanyiwa kazi na watu husika yataletwa majibu bungeni,majibu kama yataonekana ni kweli ndio utaratibu utafuatwa wa kupiga kura kama tanzania iwekewe vikwazo au laaah,
Na kila vikwazo vinaukomo wa makosa
Nikiweza nda upload makosa na vikwazo unavyoweza kuwekewa kwenye makosa kama haya
Ili uzungumzie kitu kwa kujiamini ni lazima upewe uhuru na mamlaka kamili, kama kila dakika unaelekezwa cha kuongea, na pia imapokea maelekezo from every corner Lazima upaniki...unamkumbuka balozi Mahiga alivyokuwa anajiamini?Jamaa kilaza kweli. Anaongea anababaika na kutetemeka kama vile pembeni kuna jamaa amemshikia bunduki.
Umekumbuka kuuliza za Septemba tu, mbona za awali hukuuliza matumizi yake???Wameulizana wenyewe vigezo vilivyotumika,sisi wananchi ndio tumejua kumbe serikali ilivuta mamilioni ya dola tena mwezi septemba,sasa tunataka kujua zilitumikaje?Hili tumeuliza sisi wananchi!
Sasa unanipangia cha kuuliza?Mimi nimeuliza hizo,basi!Wewe unaweza kuuliza hizo nyingine!Umekumbuka kuuliza za Septemba tu, mbona za awali hukuuliza matumizi yake???
Kabudi naye amekanusha uvumi huku jicho limemtoka?CHADEMA inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
Kumbe nawe umo kwenye kundi la wajinga? Pole sana.CHADEMA inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
Tuliza mshono nyumbxxxxx wewe....
Jasmoni Tegga, njoo ufafanue hapaYaani wangeicheza hiyo kete vizuri leo JPM angekuwa Ikulu awamu ya 2. Hawa Lumumba wamesababisha Dkt. Magufuli amekuwa "one-term president" kwa sababu ya kosa lao la kutoicheza kete vizuri. FYI: Afadhali kukosa kabisa ubongo kuliko kuutumia vibaya, kuutelekeza kwa wahisani au kuruhusu ughilimishwe (brainwashed)!