johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni kweli wazungu wanaweweseka!Wanaweweseka!

Kwahiyo Chadema ndio waliosema tumepokea €27m.CDM inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
Mkuu mbona na wewe hujajibu pointi? Mmeulizwa pesa ya kovidi imetumikaje wakati jiwe aliitangazia dunia kuwa Tz hakuna kovidi?1. Ingekuwa hoja binafsi kwa huyo Mr wa EU, isingekuwa suala la public na angepelekewa barua rasmi privately. Utasema, "Si ni mjadala bungeni?" Well, ndiyo maana ya hoja ya msingi hapa kuwa haikukusudiwa kuwa kitu personal ya huyo jamaa yenu.
2. Kubabaika na kuzushazusha na kupotoshapotosha kwa BAVICHA ndiko kumemfanya Balozi ajitokeze ili kuweka mambo sawa.
3. Lastly, wakichelewa kujibu, "WANAOGOPA HAO!" Hoja zikijibiwa kwa wakati, "WANABABIKA HAO!" Nyie veeeepe??? "Ukichimama, nchale! Ukikaa nchale! Ukiinama, ukiinuka, ukikimbia, ukitembea, nchale, nchale, nchale!!"
Wewe mwenywe unajua kwamba siwezi kujibu kwa sababu sijaulizwa na wala JPM na serikali yake hawajaulizwa. Hivi ni mtu gani mwenye akili timamu anayetoa fedha, tena kiasi hicho, pasi kujua inaenda kufanya nini au nini matumizi yake?Mkuu mbona na wewe hujajibu pointi? Mmeulizwa pesa ya kovidi imetumikaje wakati jiwe aliitangazia dunia kuwa Tz hakuna kovidi?
Umeandika nini mkuu?aisee.....huna tofauti na balozi...1. Ingekuwa hoja binafsi kwa huyo Mr wa EU, isingekuwa suala la public na angepelekewa barua rasmi privately. Utasema, "Si ni mjadala bungeni?" Well, ndiyo maana ya hoja ya msingi hapa kuwa haikukusudiwa kuwa kitu personal ya huyo jamaa yenu.
2. Kubabaika na kuzushazusha na kupotoshapotosha kwa BAVICHA ndiko kumemfanya Balozi ajitokeze ili kuweka mambo sawa.
3. Lastly, wakichelewa kujibu, "WANAOGOPA HAO!" Hoja zikijibiwa kwa wakati, "WANABABIKA HAO!" Nyie veeeepe??? "Ukichimama, nchale! Ukikaa nchale! Ukiinama, ukiinuka, ukikimbia, ukitembea, nchale, nchale, nchale!!"
Walieneza habari kuwa Bunge la EU limeazimia kuiwekea vikwazo, kusitisha misaada n.k huku wakijua ni uongo. Balozi alikanusha hayoKwahiyo Chadema ndio waliosema tumepokea €27m.
😂😂😂😂😂 mtasubiri sana mkuuuMambo yameiva
Na Polepole akajibu, kama ni mtihani wote washafeliTanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli.
Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mkiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna haja ya kukurupuka na kujibiwa na balozi tena kwa kuzikana tu bila evidence yeyote.
Hata kama tuhuma ni yetu lkn hatukuulizwa sisi aliyeulizwa ni Rais wa Council wa EU bwana Charles Michel kuwa alitumia vigezo gani kuipatia Tanzania msaada wa €27m, sisi (balozi) tungesubiri majibu yao huku tukijiandaa kujibu jinsi tulivyozitumia kwa sababu vigezo walivyotumia kutupatia msaada havituhusu.
Tayari tumeshaonyesha dalili za mwanzo za kubabaika, kwanza balozi alikana kuwa hakukuwa na mjadala wowote kuhusu Tanzania baadaye akasema tulijadiliwa na wabunge watano 5 tu ambao hawawezi kutuwekea vikwazo, hii siyo sahihi ni sawa na kuingilia utaratibu wa uendeshaji wa bunge lao.
Nasikia balozi wetu nchini Ubeligiji kamwandikia barua bwana McAllister ya kuomba kukutana naye, well, je amejipanga with evidence kujibu tuhuma akiulizwa kwanini polisi ilitumika kuwaondoa mawakala wa upinzani vituoni?, je amejipanga with evidence akiulizwa matumizi ya €27m? Je amejiandaa with evidence kusema waliokufa kwenye uchaguzi ni wawili tu na sio 20 na hao wawili waliuawa na nani na wauaji wamechukuliwa hatua gani.
Mkuu naona umekurupuka, Balozi amejibu uongo uliokuwa unaenezwa ktk mitandao na sio kuijibu Kamati ya Bunge la Ulaya, pili Balozi amesema hakuna azimio lililo pitishwa kuhusu Tanzania hajasema Tanzania haikujadiliwa.Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli.
Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mkiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna haja ya kukurupuka na kujibiwa na balozi tena kwa kuzikana tu bila evidence yeyote.
Hata kama tuhuma ni yetu lkn hatukuulizwa sisi aliyeulizwa ni Rais wa Council wa EU bwana Charles Michel kuwa alitumia vigezo gani kuipatia Tanzania msaada wa €27m, sisi (balozi) tungesubiri majibu yao huku tukijiandaa kujibu jinsi tulivyozitumia kwa sababu vigezo walivyotumia kutupatia msaada havituhusu.
Tayari tumeshaonyesha dalili za mwanzo za kubabaika, kwanza balozi alikana kuwa hakukuwa na mjadala wowote kuhusu Tanzania baadaye akasema tulijadiliwa na wabunge watano 5 tu ambao hawawezi kutuwekea vikwazo, hii siyo sahihi ni sawa na kuingilia utaratibu wa uendeshaji wa bunge lao.
Nasikia balozi wetu nchini Ubeligiji kamwandikia barua bwana McAllister ya kuomba kukutana naye, well, je amejipanga with evidence kujibu tuhuma akiulizwa kwanini polisi ilitumika kuwaondoa mawakala wa upinzani vituoni?, je amejipanga with evidence akiulizwa matumizi ya €27m? Je amejiandaa with evidence kusema waliokufa kwenye uchaguzi ni wawili tu na sio 20 na hao wawili waliuawa na nani na wauaji wamechukuliwa hatua gani.
Balozi amewakamata vizuri waongo kwa kujibu uongo uliokuwa unaenezwa kwa nia mbayaTanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli.
Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mkiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna haja ya kukurupuka na kujibiwa na balozi tena kwa kuzikana tu bila evidence yeyote.
Hata kama tuhuma ni yetu lkn hatukuulizwa sisi aliyeulizwa ni Rais wa Council wa EU bwana Charles Michel kuwa alitumia vigezo gani kuipatia Tanzania msaada wa €27m, sisi (balozi) tungesubiri majibu yao huku tukijiandaa kujibu jinsi tulivyozitumia kwa sababu vigezo walivyotumia kutupatia msaada havituhusu.
Tayari tumeshaonyesha dalili za mwanzo za kubabaika, kwanza balozi alikana kuwa hakukuwa na mjadala wowote kuhusu Tanzania baadaye akasema tulijadiliwa na wabunge watano 5 tu ambao hawawezi kutuwekea vikwazo, hii siyo sahihi ni sawa na kuingilia utaratibu wa uendeshaji wa bunge lao.
Nasikia balozi wetu nchini Ubeligiji kamwandikia barua bwana McAllister ya kuomba kukutana naye, well, je amejipanga with evidence kujibu tuhuma akiulizwa kwanini polisi ilitumika kuwaondoa mawakala wa upinzani vituoni?, je amejipanga with evidence akiulizwa matumizi ya €27m? Je amejiandaa with evidence kusema waliokufa kwenye uchaguzi ni wawili tu na sio 20 na hao wawili waliuawa na nani na wauaji wamechukuliwa hatua gani.
Jifunzeni tu Kingereza😂😂😂😂😂 mtasubiri sana mkuuu
Nilijua mapema tu kwamba hujui kusomaUmeandika nini mkuu?aisee.....huna tofauti na balozi...
Yaani wangeicheza hiyo kete vizuri leo JPM angekuwa Ikulu awamu ya 2. Hawa Lumumba wamesababisha Dkt. Magufuli amekuwa "one-term president" kwa sababu ya kosa lao la kutoicheza kete vizuri. FYI: Afadhali kukosa kabisa ubongo kuliko kuutumia vibaya, kuutelekeza kwa wahisani au kuruhusu ughilimishwe (brainwashed)!Point pekee iliyokuwa imesubiliwa kumshughulikia ''jiwe'' ni general election ya 2020, bahati mbaya sana ma ccm hawakuona hu mtego, wameingia kichwa kichwa pamoja na kuahidi kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki lakini ma ccm yalishindwa kucheza kete vilivyo.
27EuroM Mmepeleka wapi dona Kantri?CDM inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.