Kubabaika: Kaulizwa Rais wa EU, anajibu Balozi wa Tanzania

Mkuu mbona na wewe hujajibu pointi? Mmeulizwa pesa ya kovidi imetumikaje wakati jiwe aliitangazia dunia kuwa Tz hakuna kovidi?
 
Mkuu mbona na wewe hujajibu pointi? Mmeulizwa pesa ya kovidi imetumikaje wakati jiwe aliitangazia dunia kuwa Tz hakuna kovidi?
Wewe mwenywe unajua kwamba siwezi kujibu kwa sababu sijaulizwa na wala JPM na serikali yake hawajaulizwa. Hivi ni mtu gani mwenye akili timamu anayetoa fedha, tena kiasi hicho, pasi kujua inaenda kufanya nini au nini matumizi yake?

Ndiyo maana tukasema mambo mawili. Moja, jamaa hawa wamechanganyikiwa na kukasirika kwa sababu Mr Mzungu na Bob wake waliwadanganya angefikisha idadi ya kura za ushindi. Sasa hela za uhisani zimeenda bure.

Pili, wameudhika Tanzania hakuna korona kabisa, na hawana jinsi ya kuipandikiza kama walivyofanya nchi jirani, halafu miradi mikubwa ya JPM inafutuka na kustawi kwa kasi kama uyoga. Kile kitabu cha kurasa 303 kimewatengua akili, wanatafuta kila mbinu kukwamisha utekelezaji wake. But never!!!
 
Umeandika nini mkuu?aisee.....huna tofauti na balozi...
 
Yaani CHADEMA mtakuja kushituka 2025 tayari mtakuwa mshapigwa spana, mda huu ni vyema mngetumia kujenga chama!
 
Point pekee iliyokuwa imesubiliwa kumshughulikia ''jiwe'' ni general election ya 2020, bahati mbaya sana ma ccm hawakuona hu mtego, wameingia kichwa kichwa pamoja na kuahidi kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki lakini ma ccm yalishindwa kucheza kete vilivyo.
 
VIONGOZI WETU WENGI Ni
MAJUHA.
ZUMBUKUKU.
ZWAZWA NA
WAPUMBAVU.

WANAPEANA NAFASI ZA UTEUZI KWA SABABU MTOTO WA SHANGAZI, uwezo 0
 
Na Polepole akajibu, kama ni mtihani wote washafeli
 
Leo tena imaekuwa anasubiriwa Charles Michael??
Juzi mlidai Bunge limeadhimia kwa kauli moja leo tena imekuwa tusubiri?
 
Mkuu naona umekurupuka, Balozi amejibu uongo uliokuwa unaenezwa ktk mitandao na sio kuijibu Kamati ya Bunge la Ulaya, pili Balozi amesema hakuna azimio lililo pitishwa kuhusu Tanzania hajasema Tanzania haikujadiliwa.
 
Balozi amewakamata vizuri waongo kwa kujibu uongo uliokuwa unaenezwa kwa nia mbaya
 
Balozi anaona asipojibu atafukuzwa kazi
 
Yaani wangeicheza hiyo kete vizuri leo JPM angekuwa Ikulu awamu ya 2. Hawa Lumumba wamesababisha Dkt. Magufuli amekuwa "one-term president" kwa sababu ya kosa lao la kutoicheza kete vizuri. FYI: Afadhali kukosa kabisa ubongo kuliko kuutumia vibaya, kuutelekeza kwa wahisani au kuruhusu ughilimishwe (brainwashed)!
 
CDM inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
27EuroM Mmepeleka wapi dona Kantri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…