Kubabaika: Kaulizwa Rais wa EU, anajibu Balozi wa Tanzania

Wakuu hivi habari ya kupokea fedha za covid ni ngeni si mkulu alitangaza nanukuu
"Tumepokea euro 27mil kutoka kwa umoja wa ulaya kwa ajili ya effect tulizozipata "

Wakuu hili swala la pesa mkulu aliliweka wazi halafu euro 27mil hata wakitaka tulipe tunachota pesa kidogo kwenye daraja letu la mwanza lenye thamini ya bil700 na ushee
 
Tatizo kubwa lililopo katika awamu ni kwa Rais kuwateua watu kwa kuangalia uwezo wao wa kumsifu badala ya weledi na misimamo yao thabiti kwenye mambo ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweweseka kweli.
Kwanza sii kazi ya balozi kufanya kile anachofanya. Jukumu lile ni la wizara ya mambo ya nje.
 
Naona mnarukaruka tu kama maharage yakiwa kwenye sufuria kubwa la maji kwenye jiko la gas! Mtanyooka tu.

Mara tumeshawekewa vikwazo mara Bunge la EU limeshaamua kutunyima msaada wa 1.6 trillion mara ......! Sasa tena unakuja na ngonjera nyingine ya Rais wa EU sijui kafanyaje. Naona unafuatilia kila kitu hata akiingia chooni lazima utatuletea habari hapa!
 
Wala hakuwa na haja ya kujibu hoja zote hizo, kilichotokea ni ukurupukaji ambao unaendelea kuota mizizi miongoni mwa watendaji wa serikali ambao sababu kubwa ni kujikomba na kujipendekeza kwa bwana mkubwa

Mtu akikohoa tu na sauti ikasikika Tanzania imetajwa, basi hata hawajiulizi mara mbili moja kwa moja wanakimbilia kwenye media

Hakuulizwa yeye kulikuwa na haja gani ya kujibu??
 
Kama nchi lazima tuwe na msimamo wa kitaifa namna ya kujibu watu wanaotuzodoa kama Taifa
 
Kiwewe mkuu; sasa hivi wanahaha namna ya kuchuchumaa maana tauro linakaribia kuchonjoka kiunoni.
 
Mkuu mbona na wewe hujajibu pointi? Mmeulizwa pesa ya kovidi imetumikaje wakati jiwe aliitangazia dunia kuwa Tz hakuna kovidi?
Hayo maswali kaulizwa nani?Mbona vichwa vyenu chenga?
 
Wapi blood Palamagambakabudi..,........
 
Tumepotea sana kwenye Anga za kimataifa.

Tumekuwa wapinga hoja mujarabu, thabiti za weledi kwa vioja, vituko na ushamba mwingi.

Tunajifedhehesha sana.
Dr.Augustine Mahiga R.i.p alikua mtu perfect sana kwenye mambo ya namna hii
 
Nilidhania tutaficha ujinga wetu huku huku Bongo, kumbe pia wanateuwa watu wa namna hiyo. Huu mwenendo wa kuteuwa watu kwa sababu nyingine zisizo za weledi wa kazi, zitatufikisha pabaya. No wonder diplomasia ya Tanzania imeshuka sana, hasa nje, kutokana na kuchagua wapambe na walamba viatu!
 
Haya maswali ni yakufirika...
Watanzania tuna hasira na nyie mnaojiita wapinzani wakati mmetumwa na hao mabwana zenu
 
Jiwe na vibaraka wake mnahangaika sana mtake msitake lazima mkwee pipa kwenda The Hague , iwe jua , iwe mvua mtatapatapa mpake mtapike ndoano ya uchaguzi mkuu mlioimeza .
 
Huyu mpuuzi analinda kibarua chake kisiote nyasi,anaogopa yasimkute ya Pindi Chana,aliyekuwa balozi Kenya,maana jiwe hana mtu muhafaka,diplomatic enough kujibu maswala mazito Kama haya,sio kabudi mtoa mijito,au Pole pole,Hapa angemuomba Kikwete,amsaidie
 
Huyo balozi ana kiherehere. Angengoja kwanza aliye ulizwa ajibu kisha serikali ijibu kupitia msemaji wake. Tatizo la nchi hii kunapokuwa na tuhuma zozote dhidi ya serukali kila mtu ana ibuka kujibu. Utasikia DC, Chakubanga, RC, waziri UVCCM kila mmoja abaibuka kujibu ki vyake. Cha ajabu majibu yao huwa ni off point kabisa
 
CDM ndiyo bunge la Ulaya?!
CDM inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…