Kubabaika: Kaulizwa Rais wa EU, anajibu Balozi wa Tanzania

Wameulizana wenyewe vigezo vilivyotumika,sisi wananchi ndio tumejua kumbe serikali ilivuta mamilioni ya dola tena mwezi septemba,sasa tunataka kujua zilitumikaje?Hili tumeuliza sisi wananchi!
 
Hapo ndio utaelewa kwa nini wapo kina shangazi fatma karume lissu zitto maria sarungu na wengine wanaolazimisha utetezi wa haki za binadamu kunapo haki za binadamu. Kuna hela za bwerere toka EU na marekani ..eti wazungu wanataka their values ndio ziwe global. Wakiamua gay marriage gay rights ziwepo eti dunia nzima ifuate. Ndio maana umeona sisi tukimkubali magufuli kwa uadilifu wake na serikali yake kwenye kutuletea maendeleo lissu ana ajenda ya EU na marekani kutuletea ushoga na uhuru na haki zisizokua na mpaka. Magufuli akipambana na rushwa mahakamani vibaraka wa EU wanawaambia anaingilia uhuru wa mahakama.
 
Kwani kawaida mambo yote ya bunge si huanzia kwenye kamati? Kama kamati ikikosa majibu ya kutosha ni hufuata?
 
Jamaa kilaza kweli. Anaongea anababaika na kutetemeka kama vile pembeni kuna jamaa amemshikia bunduki.
Ili uzungumzie kitu kwa kujiamini ni lazima upewe uhuru na mamlaka kamili, kama kila dakika unaelekezwa cha kuongea, na pia imapokea maelekezo from every corner Lazima upaniki...unamkumbuka balozi Mahiga alivyokuwa anajiamini?
 
Wameulizana wenyewe vigezo vilivyotumika,sisi wananchi ndio tumejua kumbe serikali ilivuta mamilioni ya dola tena mwezi septemba,sasa tunataka kujua zilitumikaje?Hili tumeuliza sisi wananchi!
Umekumbuka kuuliza za Septemba tu, mbona za awali hukuuliza matumizi yake???
 
Ujinga wao ni kudhani bado wanaongoza nchi ya giza, kwamba ni wao tu wanaojua nini kinaendelea.

Hii inazidi kuwaumbua na itawatafuna sana.
 
CHADEMA inawauma sana balozi kujibu uzushi wenu, mnataka muipangie hadi serikali nani aseme nini? Hiyo ndio kwishney, baada ya miezi mitatu hakuna atakayekumbuka ujinga wenu.
Kumbe nawe umo kwenye kundi la wajinga? Pole sana.
Mleta mada umemuelewa? Kasema swali au maswali ya Kamati ya bunge la Ulaya yameulizwa kwa Wahusika a mambo ya misaada ndani ya bunge yaani kwa maana halisi ni mambo ya ndani ya bunge lao, sasa iweje Balozi ajitokeze hadharani kujibu maswali ambayo sio yake?
Angalieni alivyo yafanya mambo kuwa magumu zaidi
 
Matusi ni ishara ya kutokuwa hoja. Inakuwaje unatukana wakati hujatukanwa? Unajivunjia heshima na kujidhalilisha. Hapa tunajadili hoja sio matusi au mipasho kiongozi!
Tuliza mshono nyumbxxxxx wewe....
 
Jasmoni Tegga, njoo ufafanue hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…