Kubadili engine ya Toyota Allex cc1790 to 1450

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
703
Msaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa mjini, nahitaji kufunga Engine yenye CC1450 walau biashara iwe inaleta faida.

Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili
 
Hio engine ina tatizo gani hadi ikupe 5km/l? Kimsingi inatakiwa itoe 8km/l kama haijafungwa CVT gearbox. Ikifungwa CVT inakupa 12km/l
 
Jini la 3500cc ina pata average 6kmpl hapa Dar, na wewe mwenye 1790cc unapata 5kmpl?

Make apo kwanza ncheke
 
Cc1800 8km/L?
Yeah kuna gari zinapata hio economy, hasa za 4AT ila zenye CVT huwa zinafika 16.5km/l same engine.

Mfano wish inafika 14km/l with the same engine ila ikiwa kwenye premio ni 16km/l.
 
Yeah kuna gari zinapata hio economy, hasa za 4AT ila zenye CVT huwa zinafika 16.5km/l same engine.

Mfano wish inafika 14km/l with the same engine ila ikiwa kwenye premio ni 16km/l.
Nimeshangaa kwasababu hata Crown unapata zaidi ya hiyo.
 
Unaweza kuta gari imewekwa sae40 hio...fanya service kulingana na km zilivyo
 
5km/L ni coaster hiyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…