Msaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa mjini, nahitaji kufunga Engine yenye CC1450 walau biashara iwe inaleta faida.
Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili
Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili