Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,296
Reaction score
6,492
Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.

Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?

Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?

Gari yenyewe ni hii
 
Attachments

  • BW566097_1434e995.jpg
    BW566097_1434e995.jpg
    1.2 MB · Views: 8
Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.

Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?

Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?

Gari yenyewe ni hii
Inawezekana inafanyika kwenye garage za wahindi au Arusha
 
Nipo SA naweza kubadilisha hilo kazi nafanyia Arusha..
Utanunua dashboard na mfumo wa waya wa umeme wa dashboard ukiwa serious nitafute nikupe idadi ya vitu vyote utatakiwa kununua hapa vinapatikana ila litakugharimu sana ni Jeep hilo..
Mkuu nipe roughly estimates, mimi nataka Kila kitu ufanye wewe, nipe garama
 
hata kama kapewa zawadi lakini akilileta nchini TRA watamkadiria kodi ya hilo gari kwa bei yake sasa sokoni na ukichanganya na gharama ya kubadili mfumo wa Left hand si bora aongeze pesa aagize Right hand au autumie hivyo hivyo Leff hand.
Gharama za kubadili shilingi ngapi kwani
 
Back
Top Bottom