Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Karibu sana dashboard za Cruiser zenye airbags.Ntakutafuta Mkuu nna kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana dashboard za Cruiser zenye airbags.Ntakutafuta Mkuu nna kazi
Any modifications can be made but will cause complications in future time. Aheri ununue gari ya LHD toka kiwandani.Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Gari yenyewe ni hii
Land Cruiser nyingi za porini zilkua Rhd sema ni ngumu kununua ili ubadilishe kwa Jeep ila magari mengine ni gharama nafuu Arusha na SA hakuna kitu kinashindikana watu wana Njaa sana...nimemahauri anunue tu hiyo ya Sterling kulia maana hazina bei kubwa wanunuzi wake ni Wakongo ndio hao wako kwenye vita.Any modifications can be made but will cause complications in future time. Aheri ununue gari ya LHD toka kiwandani.
Nimemuelewa vizuri tu kwamba anataka kubadili jeep yenye left hand driving side to right handUmeelewa jamaa anahitaji nini mkuu.
Kuna land cruiser 105 ina 1hz inatakiwa iwekwe 1hd fte,, gear box inaingiliana bila tatz? Gear ni manualNipo SA nabeba dashboard za Landcruiser zile kubwa ili pia kubadili kwa baadhi ya Cruiser zenye dashboards ndogo au kushoto kwenda kulia Arusha tunafanya kila kitu..
Vitu vingine vipo sawa ila utabadili Clutch na Flywheel ya 1hdt gear box na kutoa hiyo clutch ya 1hz na Flywheel yake..Kuna land cruiser 105 ina 1hz inatakiwa iwekwe 1hd fte,, gear box inaingiliana bila tatz? Gear ni manual
Vitu vingine vipo sawa ila utabadili Clutch na Flywheel ya 1hdt gear box na kutoa hiyo clutch ya 1hz na Flywheel yake..
Haikupata shida yoyote tena. Sorry kwa jibu limechelewa zaidi ya sanaSaafi, shukran sana, wewe umenipa mwanga mkali.
Lakini baada ya kuibadilisha si ulitulia fresh tu haikuwa na Shida yoyote?
ZAmani kulikuwa na wataalam Arusha masinga singa na wahindi.....kwa sasa sina hakika saana kama bado wapoWatu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Gari yenyewe ni hii