Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
- Thread starter
- #21
Na mainjinja Wana graduate Kila mwaka, tunataka kupata solutionKwa jinsi nnavozielewa Hyundai na Kia, ngoja nisome madini humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mainjinja Wana graduate Kila mwaka, tunataka kupata solutionKwa jinsi nnavozielewa Hyundai na Kia, ngoja nisome madini humu.
Umevuta cha arusha au cha wapiUza ununue la left hand
Inawezekana. Cheki na mkuu Isanga family amekushauri vizuri.Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Gari yenyewe ni hii
Naona Uko North Korea huko😅😅😅Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Gari yenyewe ni hii
Hyundai na KIA ni gari zilizonivutia sana tena bei chee....shida ni hiyo LHDKwa jinsi nnavozielewa Hyundai na Kia, ngoja nisome madini humu.
Zipo hyundai kadhaa bara barani huwa naona zina sticker kwenye bonet ya LHDWe endesha ivo ivo mbona sioni shida hapo
Auze tu, itamtesa sana.Tatizo bei au sometimes umepewa zawadi na huwezi kukataa
Niliona Rwanda wanafanya sanaKuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Nipo SA naweza kubadilisha hilo kazi nafanyia Arusha..
Utanunua dashboard na mfumo wa waya wa umeme wa dashboard ukiwa serious nitafute nikupe idadi ya vitu vyote utatakiwa kununua hapa vinapatikana ila litakugharimu sana ni Jeep hilo..
Mbona Jeep Wrangler zipo kibao tu za right hand. Sioni sababu ya kuingia gharama kubwa hivyo.Huu ni uoga, sisi wa Tanzania tunaweza nini ama udaku tu?
Kwenye kuovertake ni changamoto kidogo. Ukitaka kuuza pia ni sheeedaWe endesha ivo ivo mbona sioni shida hapo
Saafi, shukran sana, wewe umenipa mwanga mkali.Mwaka 2006/2007 mzee wangu alinunua LandCruiser, ilikuja hvi hvi kma unavyosema, Alienda kuibadilishia dsm hapo na ilichukua kama week hivi.
Bahati mbaya sana ni kua mshua kashafariki, So sina pa kukuelekeza au kukupa mchakato kamili na bei zake.
Lengo la ku-comment hapa ni kukwambia kua inawezekana sana tu kwa hapa dsm ila ndio vile unatakiwa kujiandaa vizuri kiuchumi na pia komaa utafute Garage nzuri, Kama ni german Car, fika garage za german cars, Watakupa majibu mazuri na ya uhakika pamoja na ushauri mzuri.
Humu ndani utajibiwa kwa kupayuka na stori za kitaa.
Tafuta muda tembelea hizo garage kadhaa zenye huduma za kueleweka, then compare majibu na gharama za pande tofauti, halafu fanya maamuzi.
Kila la kheri.
Gari lolote linalo-katwakwatwa linakuwa sio bora tena....linakuwa dhaifu.Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Gari yenyewe ni hii
Umeelewa jamaa anahitaji nini mkuu.Mbona Jeep Wrangler zipo kibao tu za right hand. Sioni sababu ya kuingia gharama kubwa hivyo.
Nipo SA nabeba dashboard za Landcruiser zile kubwa ili pia kubadili kwa baadhi ya Cruiser zenye dashboards ndogo au kushoto kwenda kulia Arusha tunafanya kila kitu..Inawezekana. Cheki na mkuu Isanga family amekushauri vizuri.
Ntakutafuta Mkuu nna kaziNipo SA nabeba dashboard za Landcruiser zile kubwa ili pia kubadili kwa baadhi ya Cruiser zenye dashboards ndogo au kushoto kwenda kulia Arusha tunafanya kila kitu..