Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Mkuu ungejikita kwenye kutoa msaada zaidi kuliko kuhoji sana, ungejibu kwanza maswali then ungemaliza na swali ingekuwa poa sanaMakampuni ya kukata yap, swali langu je unalinunua hili hali au unapewa bule kwnn usitatutafe la kawaida ?
Kampuni la kubadirisha LHD kuwa RHD hakuna, we komaa nalo tu mbona watu wanaendesha hivohivo left hand.Mkuu ungejikita kwenye kutoa msaada zaidi kuliko kuhoji sana, ungejibu kwanza maswali then ungemaliza na swali ingekuwa poa sana
Inawezekana inafanyika kwenye garage za wahindi au ArushaWatu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana itakuwa sawa tu? Itahusisha na dashboard yote?
Gari yenyewe ni hii
Tatizo bei au sometimes umepewa zawadi na huwezi kukataaBora Utafute Gari Ya Right Hand Drive
Moja Kwa Moja
Unamiliki Gari mkuu au upo kwenye field hiyo?Kampuni la kubadirisha LHD kuwa RHD hakuna, we komaa nalo tu mbona watu wanaendesha hivohivo left hand.
Vipi unaweza kuwa hata na contacts zao mkuu?Inawezekana inafanyika kwenye garage za wahindi au Arusha
Mkuu nipe roughly estimates, mimi nataka Kila kitu ufanye wewe, nipe garamaNipo SA naweza kubadilisha hilo kazi nafanyia Arusha..
Utanunua dashboard na mfumo wa waya wa umeme wa dashboard ukiwa serious nitafute nikupe idadi ya vitu vyote utatakiwa kununua hapa vinapatikana ila litakugharimu sana ni Jeep hilo..
Huu ni uoga, sisi wa Tanzania tunaweza nini ama udaku tu?Bora Utafute Gari Ya Right Hand Drive
Moja Kwa Moja
hata kama kapewa zawadi lakini akilileta nchini TRA watamkadiria kodi ya hilo gari kwa bei yake sasa sokoni na ukichanganya na gharama ya kubadili mfumo wa Left hand si bora aongeze pesa aagize Right hand au autumie hivyo hivyo Leff hand.Tatizo bei au sometimes umepewa zawadi na huwezi kukataa
Gharama za kubadili shilingi ngapi kwanihata kama kapewa zawadi lakini akilileta nchini TRA watamkadiria kodi ya hilo gari kwa bei yake sasa sokoni na ukichanganya na gharama ya kubadili mfumo wa Left hand si bora aongeze pesa aagize Right hand au autumie hivyo hivyo Leff hand.