Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

Any modifications can be made but will cause complications in future time. Aheri ununue gari ya LHD toka kiwandani.
 
Any modifications can be made but will cause complications in future time. Aheri ununue gari ya LHD toka kiwandani.
Land Cruiser nyingi za porini zilkua Rhd sema ni ngumu kununua ili ubadilishe kwa Jeep ila magari mengine ni gharama nafuu Arusha na SA hakuna kitu kinashindikana watu wana Njaa sana...nimemahauri anunue tu hiyo ya Sterling kulia maana hazina bei kubwa wanunuzi wake ni Wakongo ndio hao wako kwenye vita.
 
Nipo SA nabeba dashboard za Landcruiser zile kubwa ili pia kubadili kwa baadhi ya Cruiser zenye dashboards ndogo au kushoto kwenda kulia Arusha tunafanya kila kitu..
Kuna land cruiser 105 ina 1hz inatakiwa iwekwe 1hd fte,, gear box inaingiliana bila tatz? Gear ni manual
 
Kuna land cruiser 105 ina 1hz inatakiwa iwekwe 1hd fte,, gear box inaingiliana bila tatz? Gear ni manual
Vitu vingine vipo sawa ila utabadili Clutch na Flywheel ya 1hdt gear box na kutoa hiyo clutch ya 1hz na Flywheel yake..
 
Ushauri wangu wa mwisho, acha hiyo gari iwe hivyo hivyo, hakuna tatizo kabisa katika kuendesha left hand, itakusumbua kwa mda mchache sana , niamini.

Watu wanapewa lori left hand na inapigwa vzuri tu tena 12 gears, sasa hiyo gari ndogo mnataka kuitia vidole mapema sana kwa nini.

Left hand huwa ni nzuri mno ila hamjui tu
 
ZAmani kulikuwa na wataalam Arusha masinga singa na wahindi.....kwa sasa sina hakika saana kama bado wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…