Basi mbinu za kemebos zimejibu vizuri...usimamizi kwa watoto ni muhimuHizo shule wanafunzi hawasimamiwi kama kemebos, kemebos hadi muda wa kuoga mbapangiwa.
Kibaha iko open, ni rahisi mtu kwenda mail moja kufanya mambo yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mbinu za kemebos zimejibu vizuri...usimamizi kwa watoto ni muhimuHizo shule wanafunzi hawasimamiwi kama kemebos, kemebos hadi muda wa kuoga mbapangiwa.
Kibaha iko open, ni rahisi mtu kwenda mail moja kufanya mambo yake
-wewe Muhaya lakini Mbona huna akili? Wakati wahaya wenzako Wana akili.Sina muda wa kubishana na small minded people, watu wasiohoji....wew kiswahili unajua?au unafikiri kujua kiswahili ndo kuelimika? Hiv ni mhaya au muhaya? Hebu jifunze nawe kuandika kiswahili au unawaza mimi hapa ninayetoa hoja nikiwa huru ni maskini[emoji23]
So unatumia stendi ya mkoa kupima umaskini[emoji23] na unakataa ubora wa makazi huko vijijini...
Kwani zinatangaza au wanatangazwa? Kwanza mtaala wanaotumia sio Necta sasa watakuwaje kwenye ranks za Necta.IST, ISM, Agakhan, Academic, FK, HOPAC lini umesikia zikitangaza wanafunzi bora?
Jifunze kuandika neno mhaya kwanza-wewe Muhaya lakini Mbona huna akili? Wakati wahaya wenzako Wana akili.
- kwenye majibu yangu ya msingi nimekwambia maendeleo ya Mkoa yanapimwa na mambo mengi Sana, unatakiwa uelewe.
-
Hata hapa Tz kuna shule kibao za International hazitangaziNchi nyingi zilizoendelea hakunaga cha kutangaza sijui best student or school. Wanaamini kila mwanafunzi ana uwezo tofauti ,so kuwashindanisha haina tija. Halafu huwezi wapima wanafunzi kwa mtihani mmoja tu.
Usikaze fuvu, fikiria upyaKwani zinatangaza au wanatangazwa? Kwanza mtaala wanaotumia sio Necta sasa watakuwaje kwenye ranks za Necta.
Fikra mpya ada zao ni za million 10 na zaidiUsikaze fuvu, fikiria upya
Naunga mkono hoja. Pia kuna shule zinabagua wanafunzi walio chini ya wastani na kuwapeleka vituo vingine ,hii inawajengea kutojiamini wanafunzi walobaguliwa .Kibaya hadi shule za dini zinafanya hayaww jamaa sema tu unaipigia upatu hiyo KEMEBOS.........
Huwezi shindanisha watoto wanaolipa ada M10 kwa mwaka na hawa elimu bure kwani wanasoma katika mazingira tofauti ...
Nawapongeza Necta kwa hili ingawaje wamechelewa kustuka kwani tushapiga sana kelele huu utaratibu wa kutangaza top best ni promo ya biashara na kuchochea wizi wa mitihani
Sijaona aisee mtu wa nguvu hembu nisogezeeMtoa mada hiyo Twibhoki haukuona kwamba matokea yaliyotolewa ni ya mwanafunzi mmoja tu na mengine yamezuiliwa??? Unadhani itakuwa fair kulinganisha matokeo ya mwanafunzi mmoja na shule yenye wanafunzi 100+???