Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

Hizo shule wanafunzi hawasimamiwi kama kemebos, kemebos hadi muda wa kuoga mbapangiwa.

Kibaha iko open, ni rahisi mtu kwenda mail moja kufanya mambo yake
Basi mbinu za kemebos zimejibu vizuri...usimamizi kwa watoto ni muhimu
 
-wewe Muhaya lakini Mbona huna akili? Wakati wahaya wenzako Wana akili.
- kwenye majibu yangu ya msingi nimekwambia maendeleo ya Mkoa yanapimwa na mambo mengi Sana, unatakiwa uelewe.
-
 
IST, ISM, Agakhan, Academic, FK, HOPAC lini umesikia zikitangaza wanafunzi bora?
Kwani zinatangaza au wanatangazwa? Kwanza mtaala wanaotumia sio Necta sasa watakuwaje kwenye ranks za Necta.
 
Huku kwetu, baraza la mitihani KNEC pamoja na wizara ya elimu zilifutilia mbali kuorodheshwa kwa shule pamoja na wanafunzi kitambo sana. Sababu kuu ni hizo hizo za NECTA, kupigia shule promo, walimu kuzidisha ushindani hadi kutumua njia za mkato ilmradi shule zao ziongoze. Hata hivyo, vyombo vya habari hujitahidi ku analyse matokeo na kutoa orodha zao binanfsi za wanafunzi bora na shule bora.
 
-wewe Muhaya lakini Mbona huna akili? Wakati wahaya wenzako Wana akili.
- kwenye majibu yangu ya msingi nimekwambia maendeleo ya Mkoa yanapimwa na mambo mengi Sana, unatakiwa uelewe.
-
Jifunze kuandika neno mhaya kwanza
 
Nchi nyingi zilizoendelea hakunaga cha kutangaza sijui best student or school. Wanaamini kila mwanafunzi ana uwezo tofauti ,so kuwashindanisha haina tija. Halafu huwezi wapima wanafunzi kwa mtihani mmoja tu.
Hata hapa Tz kuna shule kibao za International hazitangazi
 
Naunga mkono hoja. Pia kuna shule zinabagua wanafunzi walio chini ya wastani na kuwapeleka vituo vingine ,hii inawajengea kutojiamini wanafunzi walobaguliwa .Kibaya hadi shule za dini zinafanya haya
 
Mtoa mada hiyo Twibhoki haukuona kwamba matokea yaliyotolewa ni ya mwanafunzi mmoja tu na mengine yamezuiliwa??? Unadhani itakuwa fair kulinganisha matokeo ya mwanafunzi mmoja na shule yenye wanafunzi 100+???
 
Sijaona aisee mtu wa nguvu hembu nisogezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…