Nimetafuta matibabuKwann usiwaze kutibiwa? Au ugonjwa n wa mkataba?
mpaka hospital kama muhimbili wameshindwa kukutibu?Nimetafuta matibabu ila nikaambiwa nikwepe kazi zakuinama nakubeba vitu vyenye uzito zaidi ya 10kg nanilipatiwa dawa ila nimemaliza doz bado sijapona
ShukranPole Sana mkuu
Ulitibiwa hospital gani? Usifanye mzaha na afya aisee. Umeshaongea na mkuu wa idara akasemaje? Na uko idara gani?Nimetafuta matibabu ila nikaambiwa nikwepe kazi zakuinama nakubeba vitu vyenye uzito zaidi ya 10kg nanilipatiwa dawa ila nimemaliza doz bado sijapona na kukwepa kazi nikitu ambacho haiwezekani sababu nipowenyewe
Poleee mkuuNimetafuta matibabu ila nikaambiwa nikwepe kazi zakuinama nakubeba vitu vyenye uzito zaidi ya 10kg nanilipatiwa dawa ila nimemaliza doz bado sijapona na kukwepa kazi nikitu ambacho haiwezekani sababu nipowenyewe
Ulitibiwa?
Kwa hiyo walisema shida ni nini? Au uliwahi kupata ajari?Muhimbil
Mimi mwenyewe ni muathirika wa ugonjwa huo wa chronic Lower back pain. Na sasa hata body balance sina, kutembea ni kidogo na sometimes nasaidiwa kwa mkongojo. Maumivu ni makali kiunoni, miguuni mchanganyiko na ganzi.Habari Wana JF
Mimi nimtumishi mpyaa katika halmashaur Fulani mpaka Sasa ninamienzi mitano kazini lakini changamoto inayonisumbua nimaumivuu ya uti wa mgongo yaliyotembea mpaka miguuni na shingon.
Halii hii inanipa wakat mgumu wautekelezaji wa majukumu kwani hatakubeba vitu vizito nakazi zakuinama siwezi.
Naombeni ushauri je Kuna namna yakufanya nikabadilishiwa majukumu kwa kupelekwa pengine ninapoweza kuwa msimamizi tuu sababu Mimi nitegemez katika sehem nayofanya kazi kwani nipo mwenyewe
Hospital ?
Mimi mwenyewe