Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,602
- 6,754
Ongea na Uongozi
Afya kwanza mengine baadae.
Afya kwanza mengine baadae.
Asante nitajaribu ila vipi haiwezi kuniletea shida wakati wa kithibitishwa kazini au nisubiri kwanza nipate barua yakuthibitishwa ndioniwashirikisheOngea na Uongozi
Afya kwanza mengine baadae.
Tatizo unaangalia sana kazi kuliko afya yako.Asante nitajaribu ila vipi haiwezi kuniletea shida wakati wa kithibitishwa kazini au nisubiri kwanza nipate barua yakuthibitishwa ndioniwashirikishe
Kwa nature ya napofanyia kaz hakuna majukum mengine yakupewa labda nibadilishiwe sehemu yakaz sababu kiuhalisia nishakata tamaa mpaka nataman niache tuu kazi kunamdaa najilazimisha tuu ila nivile nipo mwenyewOmba itabadilishwa kazi ambayo wewe utaimudu.kuna Jamaa yangu alikuwa afisa elimu wa mkoa aliugua kama wewe akaomba akafundishe darasani shule ya msingi na akaimudu ile kazi anaendelea.ila alikuwa anahudhuria hospitali kwa matibabu zaidi na akagunduliwa kuna mshipa shingoni ulikataa mawasiliano.akapata tiba yuko vizuri.nawe nenda hosp Kutana na dkt bingwa wa uti wa mgongo
Pole sana mkuuMimi mwenyewe ni muathirika wa ugonjwa huo wa chronic Lower back pain. Na sasa hata body balance sina, kutembea ni kidogo na sometimes nasaidiwa kwa mkongojo. Maumivu ni makali kiunoni, miguuni mchanganyiko na ganzi.
Yote hiyo naambiwa disc moja imekufa . Ni tatizo kubwa na hospital zetu kwa operation miongoni sikushauri. Ni mateso kwa ujumla. Imeniachisha kazi zangu zote.
Naomba nikuulize haya mambo inbox. Nina haja ya kumjua huyo mzee aliyekusaidia mahali alipo na gharama zake.Hiyo lazma itakuwa kuna shida kwenye pingili za uti wa mgongo. Hta mimi nlikuwa na shida hyo ila nliendaga kwa mzee mmoja anatibia mifupa kwa miti shamba, alinikagua akaipata pingili yenye shida na akaninyooshaga, nilipona kabisa asee, ila sharti alonipa n kwamba nisifanye kaz ngumu zenye kushughulisha mgongo sana, na kunyanyua vitu vizito ndani ya huo mwezi mmoja ili kuupa mgongo utulivu ila baada ya mwezi niendelee na shughuli zangu maana ntakuwa nishapona. Bahat mbaya nlijisahau nikaendekeza kunyandua maumivu ykarud jpo sio makali km ya awali. Jpo ni muda mrefu umepita ila Nitarud tena kwa yule mzee InshaAllah
Duh, pole sana najaribu kuvuta hisia jinsi unavyopata shida maana na mimi hali ya lower back pains ilinikamata kwa miaka 5 ni hatari sana! Nilikuwa hata siwezi kukaa muda wa saa 1 mfululizo kwenye kiti mpaka ikabidi kusitisha masomo ya kozi yangu pendwa maana ilikuwa inanitaka nikae kwenye kupiga msuli muda mrefu. Lakini baadaye nilikuja kupona kimiujiza baada ya kuwa nimetumia madawa ya kila aina mpka kwa mganga wa kienyeji alikuwa anaitwa Chifu nani? Yule Msukuma alikuwa mle ndani ya uwanja wa nane nane pale Morogoro. Sasa najiuliza kwa hali yako huyo umeshaongea na mkuu wako wa idara anasemaje? Umeshaongea na Afisa utumishi anasemaje? Umeshaongea na mkurugenzi wako anasemaje? Kama hao wote hujapata majibu yao itakuwa ngumu sana na utaendelea kujiumiza na mwisho wa siku utaondolewa kabisa kazini.Àcha tuu inakatisha tamaa ila Mimi kwalevo ya ganzi bado hainipatisana nimigumu inawaka tuu moto nakulala inakuashida napia napata uchovusana hata nilifanya kakazi kadogo chakupanda juu yangazi nlazma mwili upate maumivu nanshindwe kulala ila nataman ngepata kaz hata ya documents ingesaidia hata kidogo
Pole sana kiongozi! Najua mziki wa lower pain. Mimi ilifika mahali hata kukaa kwenye kiti nashindwa natamani tusikilize lectures nikiwa nimesimama, nikiwa home napiga msuli nimelala chali! Mbona nilirudisha mpira kwa kipa!Mimi mwenyewe ni muathirika wa ugonjwa huo wa chronic Lower back pain. Na sasa hata body balance sina, kutembea ni kidogo na sometimes nasaidiwa kwa mkongojo. Maumivu ni makali kiunoni, miguuni mchanganyiko na ganzi.
Yote hiyo naambiwa disc moja imekufa . Ni tatizo kubwa na hospital zetu kwa operation miongoni sikushauri. Ni mateso kwa ujumla. Imeniachisha kazi zangu zote.
Habari Wana JF
Mimi nimtumishi mpyaa katika halmashaur Fulani mpaka Sasa ninamienzi mitano kazini lakini changamoto inayonisumbua nimaumivuu ya uti wa mgongo yaliyotembea mpaka miguuni na shingon.
Halii hii inanipa wakat mgumu wautekelezaji wa majukumu kwani hatakubeba vitu vizito nakazi zakuinama siwezi.
Naombeni ushauri je Kuna namna yakufanya nikabadilishiwa majukumu kwa kupelekwa pengine ninapoweza kuwa msimamizi tuu sababu Mimi nitegemez katika sehem nayofanya kazi kwani nipo swal
Habari Wana JF
Mimi nimtumishi mpyaa katika halmashaur Fulani mpaka Sasa ninamienzi mitano kazini lakini changamoto inayonisumbua nimaumivuu ya uti wa mgongo yaliyotembea mpaka miguuni na shingon.
Halii hii inanipa wakat mgumu wautekelezaji wa majukumu kwani hatakubeba vitu vizito nakazi zakuinama siwezi.
Naombeni ushauri je Kuna namna yakufanya nikabadilishiwa majukumu kwa kupelekwa pengine ninapoweza kuwa msimamizi tuu sababu Mimi nitegemez katika sehem nayofanya kazi
Hospital gani ulienda,au uliishia hospital za wilayaNimetafuta matibabu ila nikaambiwa nikwepe kazi zakuinama nakubeba vitu vyenye uzito zaidi ya 10kg nanilipatiwa dawa ila nimemaliza doz bado sijapona na kukwepa kazi nikitu ambacho haiwezekani sababu nipowenyewe
Ndugu zangu, dawa ipo kama hujafanyiwa operation. Wengi tumepona kwa hiyo Tiba Mbadala.Mimi mwenyewe ni muathirika wa ugonjwa huo wa chronic Lower back pain. Na sasa hata body balance sina, kutembea ni kidogo na sometimes nasaidiwa kwa mkongojo. Maumivu ni makali kiunoni, miguuni mchanganyiko na ganzi.
Yote hiyo naambiwa disc moja imekufa . Ni tatizo kubwa na hospital zetu kwa operation miongoni sikushauri. Ni mateso kwa ujumla. Imeniachisha kazi zangu zote.
OkUmewahi kupima brusellosis? Figo embu cheki pia , h. Plory? Yote hayo yanasababisha maumivu ya mgongo