The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
Karibu mkuuNaomba nikuulize haya mambo inbox. Nina haja ya kumjua huyo mzee aliyekusaidia mahali alipo na gharama zake.
Karibu mkuuNaomba nikuulize haya mambo inbox. Nina haja ya kumjua huyo mzee aliyekusaidia mahali alipo na gharama zake.
Tusaidiane kujua zaidi ya kupata suluhu ktk hiliNdugu zangu, dawa ipo kama hujafanyiwa operation. Wengi tumepona kwa hiyo Tiba Mbadala.
Nenda hospital ukafanye MRI ndioinatoa majibu yote ila kupona nikuomba MunguTusaidiane kujua zaidi ya kupata suluhu ktk hili
Kijana pole sana'Hatakama sijathibitishwa kazin
Pole sana ndugu yangu na wengine wote wenye changamoto hiiÀcha tuu inakatisha tamaa ila Mimi kwalevo ya ganzi bado hainipatisana nimigumu inawaka tuu moto nakulala inakuashida napia napata uchovusana hata nilifanya kakazi kadogo chakupanda juu yangazi nlazma mwili upate maumivu nanshindwe kulala ila nataman ngepata kaz hata ya documents ingesaidia hata kidogo
AsanteKijana pole sana'
Jaribu kuwaona utumishi ukiwa na viambata
Wengi tumepona ila ubishi wa watu tuTusaidiane kujua zaidi ya kupata suluhu ktk hili
Uongo tu!!!!!! Hii kitu inaponyeshwa na tiba mbadala. Siyo hospitali. Mimi nilisumbuliwa kutoka 2012 hadi 2023 nilipopata tiba ambayo ni rahisi ajabu na hakuna anayeweza kuielezea scientifically.Nenda hospital ukafanye MRI ndioinatoa majibu yote ila kupona nikuomba Mungu
Saidia Sasa na wanaume wenzako wapone sio kuleta mambo mengi alafu huwi muwaziUongo tu!!!!!! Hii kitu inaponyeshwa na tiba mbadala. Siyo hospitali. Mimi nilisumbuliwa kutoka 2012 hadi 2023 nilipopata tiba ambayo ni rahisi ajabu na hakuna anayeweza kuielezea scientifically.
Ni vyema ukasema tu kama ni wewe unatibu au mtu mwingine hata mwenye changamoto kama wewe aweze kupona sio wote wataweza kukufikia inbox ila wengine wakiona hapa utakuwa umefanya jambo kubwa la baraka kuna watu tunakutana nao ila ukimwambia mpaka tumtafute inbox na wakati huo haupatikani labda atakuwa amekosa msaada mkubwa ambao ungemvusha kwenye tatizo lakeUongo tu!!!!!! Hii kitu inaponyeshwa na tiba mbadala. Siyo hospitali. Mimi nilisumbuliwa kutoka 2012 hadi 2023 nilipopata tiba ambayo ni rahisi ajabu na hakuna anayeweza kuielezea scientifically.
Mbona hata namba za simu za huyo Sista wa Kikatoliki wa Poor Clares anayetibu nishaziweka humu JF.Saidia Sasa na wanaume wenzako wapone sio kuleta mambo mengi alafu huwi muwazi
Siyo mimi, kwa vile sina ruhusa kuweka namba zake. Nitakupa mawasiliano yake PM ila sharti langu ni kuwa baada ya kufanikiwa uje hapa JF utoe ushuhuda.Ni vyema ukasema tu kama ni wewe unatibu au mtu mwingine hata mwenye changamoto kama wewe aweze kupona sio wote wataweza kukufikia inbox ila wengine wakiona hapa utakuwa umefanya jambo kubwa la baraka kuna watu tunakutana nao ila ukimwambia mpaka tumtafute inbox na wakati huo haupatikani labda atakuwa amekosa msaada mkubwa ambao ungemvusha kwenye tatizo lake