Kubadilishiwa majukumu kutokana na ugonjwa

Nimetafuta matibabu ila nikaambiwa nikwepe kazi zakuinama nakubeba vitu vyenye uzito zaidi ya 10kg nanilipatiwa dawa ila nimemaliza doz bado sijapona na kukwepa kazi nikitu ambacho haiwezekani sababu nipowenyewe
Ulitibiwa hospital gani? Usifanye mzaha na afya aisee. Umeshaongea na mkuu wa idara akasemaje? Na uko idara gani?
 
Mimi mwenyewe ni muathirika wa ugonjwa huo wa chronic Lower back pain. Na sasa hata body balance sina, kutembea ni kidogo na sometimes nasaidiwa kwa mkongojo. Maumivu ni makali kiunoni, miguuni mchanganyiko na ganzi.

Yote hiyo naambiwa disc moja imekufa . Ni tatizo kubwa na hospital zetu kwa operation miongoni sikushauri. Ni mateso kwa ujumla. Imeniachisha kazi zangu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…