Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Hawa Helsb Mambo yao mengi hayana uwazi.
 
Nasikia mpaka kesho vyuo vyote nchini vinaanza masomo ila Heslb hawajatuma pesa za MA kwa chuo chochote, Sasa sijui wanataka wanafunzi waishi vp..!!!
Maisha yatakua magumu vijana wanahitaj sapoti ya Wazazi sasa
 
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Nikikumbuk vile mwaka juzi walituwekea Allocation za miaka yote mitatu...lkn mwaka jana wakaja kubadili...Nachoka kbs.
 
Inakuaje Yani miak mitatu , allocation inabadilika amout mwak wa tatu ama?
 
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Bro una supplementary
 
Back
Top Bottom