FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
SIPA ya nini na kuna message tu ya Dear student you received...We umeangalia SIPA yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIPA ya nini na kuna message tu ya Dear student you received...We umeangalia SIPA yako?
Kwa baadhi ya second year ada imeongezwa. Mungu ni mkuu!
Kwann mkuu ,Kwan kigezo cha mkopo ni supplementary?Bro una supplementary
Kwann mkuu ,Kwan kigezo cha mkopo ni supplementary?
Ila ni kipi ama ni kama kubeti .Hicho sio kigezo Mkuu
Under 2.0GPa ?Nyongeza ya Ada ni kwa wale under 2.0 gpa
Mimi nachofahamu ni siasa tuIla ni kipi ama ni kama kubeti .
Ni vyuo vyote Tz ama wanachagua vyuo?Mimi nachofahamu ni siasa tu
Vyo vya siasa Kama MNMANi vyuo vyote Tz ama wanachagua vyuo?
Hii inaweza kuwa na ukweli mkuu.Ama GPA kubwa kubwa😅😅😅
Au sio ,umepiga gpa ya ngap mkuu?na mwanzo ulikua na asilimia ngap?Hii inaweza kuwa na ukweli mkuu.
Wakati tunareport first year Kuna jamaa alitutia moyo, eti madogo mkikaz mtaongezewa asilimia kwendye ada.
Juzi naingia nakuta 100%
Hiyo sio sababu ya Gpa ni kwa chosenHii inaweza kuwa na ukweli mkuu.
Wakati tunareport first year Kuna jamaa alitutia moyo, eti madogo mkikaz mtaongezewa asilimia kwendye ada.
Juzi naingia nakuta 100%
Kwa watu waliosup pesa za tuition fee pamoja na MA. Zinachelewa(ga) kupelekwa chuoni mpaka pale matokeo ya muhusika yafikishwe heslb.Kwann mkuu ,Kwan kigezo cha mkopo ni supplementary?
Kwa watu waliosup pesa za tuition fee pamoja na MA. Zinachelewa(ga) kupelekwa chuoni mpaka pale matokeo ya muhusika yafikishwe heslb.
Tuition fees na MA uwa zinawekwa kwa amamu kuna ambao wanawai Kupata then wengine wanachelewaIf chuo ni vibungo hawana gpa za 4 ,bhas msala😅😅😅