DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ngoja tutamuuliza badru alitolee ufafanuziKiuhalisia Ela za field Kuna watu walioongezewa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tutamuuliza badru alitolee ufafanuziKiuhalisia Ela za field Kuna watu walioongezewa ?
Allocation za 2022/2023 Bado hawajatoa kwa wanafunzi wengi continuous wakitoa ntaleta mrejesho mzuri
Wengine wawe wavumilivu tu mpak mwezi 11
Kweli Mkuu hiko Safi sana
Yeah, kwa UDSM wamepunguza.
Awali ilikuwa 2,099,500 Tsh kwa mwaka, ambapo kila baada ya miezi miwili unachukua 524,875 Tsh!
Nimeingia juzi SIPA nimekuta wamepunguza kama elf 59.
Yaani inakuwa 2,040,000 Tsh. ambapo kila baada ya miezi miwili unachukua 510,000 Tsh
Ndio mkuu, Na kwa continuous ni uhakika. Sema unaweza ukaongezewa au ikabakia vilevile.Wengine wawe wavulivu tu mpak mwezi 11
Mkuu mwaka Jana Ada ulipewa kias gani?
Ina Maana wanaangalia sifa zipi ?Ndio mkuu, Na kwa continuous ni uhakika. Sema unaweza ukaongezewa au ikabakia vilevile.
Ina Maana wanaangalia sifa zipi ?
Nilipewa 400,500Tsh (Laki nne na mia tano)Mkuu mwaka Jana Ada ulipewa kias gani?
Bahati na connection kama alivyosema mkuu HAYA LAND.Ina Maana wanaangalia sifa zipi ?
Je wazazi wote wawili unao?Bahati na connection kama alivyosema mkuu HAYA LAND.
Sema nadhani vilevile wanarejelea vigezo vya waombaji maana wengine walistahili kupewa 100% kwa first year wakanyimwa.
Wazazi wapo na sijaweka attachment yoyote tofauti na cheti cha kuzaliwa na vyeti vyangu vya form 4&6.Je wazazi wote wawili unao?
Maana hawa Helsb ukipewa 100% hicho kigezo wanakitumiaga Sana.
Hapan mkuu,wadau wengi Wana kigezo iko na hawakupewa 100% ,ni siasa tuuJe wazazi wote wawili unao?
Maana hawa Helsb ukipewa 100% hicho kigezo wanakitumiaga Sana.
Politics tupuHapan mkuu,wadau wengi Wana kigezo iko na hawakupewa 100% ,ni siasa tuu
Haupo sahihiBro una supplementary
Unasoma kozi gani? Upo mwaka wa ngapi mkuu?Hii inaweza kuwa na ukweli mkuu.
Wakati tunareport first year Kuna jamaa alitutia moyo, eti madogo mkikaza mtaongezewa asilimia kwenye ada.
Juzi naingia nakuta 100%
Heslb ndio wanatuma sms kwa muhusika baada ya Allocation si ndio?