Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Ada uliyokua unajazia usi ile kama bado unayo wala usiipangie matumizi mengine, hifadhi kwa tahadhari ya baadae wanaweza kuja kuifyeka kiasi walichokuongezea wakasema makosa ya mtandao au mfumo huwa inatokea hivyo.
Iyo huwa inatokea kumbe ,bhas ni vema kuwa makini
 
Ada uliyokua unajazia usi ile kama bado unayo wala usiipangie matumizi mengine, hifadhi kwa tahadhari ya baadae wanaweza kuja kuifyeka kiasi walichokuongezea wakasema makosa ya mtandao au mfumo huwa inatokea hivyo.
Sawa mkuu. Nimekupata
 
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
mwanafunzi wa chuo anasoma chuo miaka mitatu bila kugoma? huyo anakaririri
 
Back
Top Bottom