Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Aliyepata update zozote za mikopo continuous atujuze
 
Ni aibu sana kwa kweli. vijana wengi wa mwaka wa kwanza wameshindwa kuripoti vyoni wanasubiri uhakika wa mikopo. Masomo yameanza leo na Bodi ya mikopo haieleweki na haijatoa neno lolote hata waziri yuko kimya.

Wanapowapa kipaumbele wanaosoma udaktari, ualimu wa sayansi, hivi watanzania wote wakisomea fani hizo tu nchi hii itakuwa ya namna gani?

madaktari na walimu wenyewe wanaopigia chapuo hawawezi kuajiri hata 10% ya wahitimu. Very hopeless, hiyo bodi ingebinafsishwa tu kazi zao zikafanywa hata na mabenki.
 
Ni aibu sana nchi kwa kweli. vijana wengi wa mwaka wa kwanza wameshindwa kuripoti vyoni wanasubiri uhakika wa mikopo. Masomo yameanza leo na Bodi ya mikopo haieleweki na haijatoa neno lolote hata waziri yuko kimya.

Wanapowapa kipaumbele wanaosoma udaktari, ualimu wa sayansi, hivi watanzania wote wakisomea fani hizo tu nchi hii itakuwa ya namna gani?

ualimu wenyewe wanaoupigia chapuo hawawezi kuajiri hata 10% ya wahitimu. Very hopeless, hiyo bodi ingebinafsishwa tu kazi zao zikafanywa hata na mabenki.
Umeangalia SIPA yako?
 
Back
Top Bottom