Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Sawa sawa ila haiathiri kutoongezewa Ada asilimia 100%?
 
🤣🤣 Ni above 3.5 mkuu.
Sio kibwa hata, nadhani wamerejelea kwenye sifa za mwombaji wakaona wanibless.
Hahah saw sawa below 3.5 hamna nyongeza,chuo sio pa starehe Mana Ela za bodi wanakula Bata badala ya kukaza kitabu
 
Baadhi ya vyuo ,system umezngua boom limekatwa ikoje hii?
Yeah, kwa UDSM wamepunguza.
Awali ilikuwa 2,099,500 Tsh kwa mwaka, ambapo kila baada ya miezi miwili unachukua 524,875 Tsh!

Nimeingia juzi SIPA nimekuta wamepunguza kama elf 59.
Yaani inakuwa 2,040,000 Tsh. ambapo kila baada ya miezi miwili unachukua 510,000 Tsh
 
Back
Top Bottom