Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Wajiulize
WANATAKA wawahishiwe mikopo Ili wasomeee nini wapatie ajira wapi Ili wake walipe hiyo mikopo!!?
Kama wanaakili watanielewa!
Me niko ardhi UniversityUko chuo gani?
Kabisa hawatabiriki bodi maana wakisema system ilizingua doooh itakua jauSema zingatia ushauri wa mdau ,maan hawatabirik
Wee jamaa achana na siasa bhasWajiulize
WANATAKA wawahishiwe mikopo Ili wasomeee nini wapatie ajira wapi Ili wake walipe hiyo mikopo!!?
Kama wanaakili watanielewa!
Sasa si ndio mfumo wa elimu ,wew unaweza kujilipia ada 2.5milion per year ,labd kwenu wawe vzuriAjira hamna mikopo hailipiki afu inabidi uendelee kukopesha patamu hapo
Udsm waliopewa 49% saiv wameekewa 100% na chuo hawajafungua ,vyuo vingine Ela hawaja allocate na gharama za maisha zmepandaToeni mrejesho jamani nyie Heslb Vyuoni kunanuka njaa, wiki ya pili hii hamna pesa.. au Serikali yetu pendwa haijatoa fedha..?
Vyuo vishafunguliwa wee..Udsm waliopewa 49% saiv wameekewa 100% na chuo hawajafungua ,vyuo vingine Ela hawaja allocate na gharama za maisha zmepanda
Kuongezewa ni watu wengi wameongezewa Ila changamoto ni utumaji wa pesa za chakula maana masomo yashaanza,, vp huko UDSM..?Udsm waliopewa 49% saiv wameekewa 100% na chuo hawajafungua ,vyuo vingine Ela hawaja allocate na gharama za maisha zmepanda
Ishu iko ivi je kwann waliwapa 49% weny vigezo vya kupata 100%?Kuongezewa ni watu wengi wameongezewa Ila changamoto ni utumaji wa pesa za chakula maana masomo yashaanza,, vp huko UDSM..?
Hivi ukipata mkopo then usiende chuo wanakudai huo mkopo?Kuongezewa ni watu wengi wameongezewa Ila changamoto ni utumaji wa pesa za chakula maana masomo yashaanza,, vp huko UDSM..?
Na Ela zmefika?Vyuo vishafunguliwa wee..
Si uliweka nyaraka zako mkuu ,Sasa jichanganye😅😅Hivi ukipata mkopo then usiende chuo wanakudai huo mkopo?
Mtu umeshidwa kureport chuo na mkopo hujatumia mkuu wanakudai?Si uliweka nyaraka zako mkuu ,Sasa jichanganye😅😅
Hawakudai ila usicheze kweny ajira za serikali na baadh ya private office ,watakukata mshahara daima na wanapiga faida kubwaaSi uliweka nyaraka zako mkuu ,Sasa jichanganye😅😅
Hawakudai usiposainiMtu umeshidwa kureport chuo na mkopo hujatumia mkuu wanakudai?