Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Ety wadau Kuna mtu continue ambae kapata meseji ya Boom.. maana naona vyuo vingi havieleweki dadeq.. watu wameanza masomo na bado mavyuoni kunanuka njaa
 
Toeni mrejesho jamani nyie Heslb Vyuoni kunanuka njaa, wiki ya pili hii hamna pesa.. au Serikali yetu pendwa haijatoa fedha..?
 
Udsm waliopewa 49% saiv wameekewa 100% na chuo hawajafungua ,vyuo vingine Ela hawaja allocate na gharama za maisha zmepanda
 
Kuongezewa ni watu wengi wameongezewa Ila changamoto ni utumaji wa pesa za chakula maana masomo yashaanza,, vp huko UDSM..?
 
Wanachofanya baada ya waziri kucharuka Sasa ni hivi,vyuo vyenye majina wanawapa mkopo asilimia 100% wale continuous na wakati mwaka Jana waliwap Maskini 49%😅 ,Sasa vyuo vilivyobak hawajapewa hata kidogo wanarefusha kalenda et tar 4
 
Kuongezewa ni watu wengi wameongezewa Ila changamoto ni utumaji wa pesa za chakula maana masomo yashaanza,, vp huko UDSM..?
Ishu iko ivi je kwann waliwapa 49% weny vigezo vya kupata 100%?
 
Kuongezewa ni watu wengi wameongezewa Ila changamoto ni utumaji wa pesa za chakula maana masomo yashaanza,, vp huko UDSM..?
Hivi ukipata mkopo then usiende chuo wanakudai huo mkopo?
 
Si uliweka nyaraka zako mkuu ,Sasa jichanganye😅😅
Hawakudai ila usicheze kweny ajira za serikali na baadh ya private office ,watakukata mshahara daima na wanapiga faida kubwaa
 
Back
Top Bottom