Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Umeangalia SIPA yako?
ni ya kijana wangu. na ameshaanza masomo leo kwa sababu nililipa ada kiasi kwa ajili ya registration, lakini ameniambia jambo la kusikitisha. over 90% ya wanafunzi wa kozi yake chuo alipo hawajaripoti kwa sababu ya loan. Watu walisubiri tar 27 October wakabadilishiwa na kuwa 4 november. Si ajabu itakuwa 15 November.

Ninajiuliza hakuna mawasiliano kati ya TCU-Vyuo na Bodi ya Mikopo kuhusu tarehe za vyuo kufunguliwa?
 
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Continuous students vs continuing students. Wewe ni wa MU nini?
 
Chuo gani boss? Maana pesa zote tulishawawekea wanafunzi kwenye akaunti zao
 
Continuous students vs continuing students. Wewe ni wa MU nini?
Asante kwa correction ,ila tunaomb mtufikirie aisee Allocation hamna vyuo hakuna update ,class lecture hakuna wanafunzi hatuna Ela
 
Ebu fikiria ungekua wew week ya pili hii hujui kama Ada utapata au boom😓😓😓
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-142040.png
    Screenshot_20221031-142040.png
    159.6 KB · Views: 9
ni ya kijana wangu. na ameshaanza masomo leo kwa sababu nililipa ada kiasi kwa ajili ya registration, lakini ameniambia jambo la kusikitisha. over 90% ya wanafunzi wa kozi yake chuo alipo hawajaripoti kwa sababu ya loan. Watu walisubiri tar 27 October wakabadilishiwa na kuwa 4 november. Si ajabu itakuwa 15 November.

Ninajiuliza hakuna mawasiliano kati ya TCU-Vyuo na Bodi ya Mikopo kuhusu tarehe za vyuo kufunguliwa?
Ni HUZUNI sana ila tuwe wavumilivu mpka tar 4 Zaid ya two weeks Sasa,nataman nipate ata connection tu nchi hii
 
Hatuna intention ya kuichafua bodi ama serikali,tupo kupeana moyo na kufarijiana tu😅😅💝
 
Fanyeni Kazi kwa ufanisi au hamlipwi mshahara ?

How comes hata continuous hamjawawekea pesa zao na Allocation katika SIPA zao ? Serikali inatenga bajeti 570bil ambazo ni Kodi how comes mnafanya siasa.
Alhamisi 4/11 watawekewa pesa zao
 
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Inabidi bodi ya mkopo iunde mfumo ambao utakuwa na mawasiliano na vyuo vyote nchini kwamba kabla ya masomo kuanza katika chuo chochote wanafunzi wawe tayari wamewezeshwa na ada na boom ili kuondoa usumbufu kati ya mwanafunzi na vyuo kwenye malipo ya ada pamoja na wanafunzi hawa waweze kujikimu wakati wa masomo yao vyuoni.
Sio kama wanavyofanya saivi wanasema tarehe fulani ,tarehe hio ikifiika bas i hawafanyi kile walichhokisema mpaka inafika wakati sasa vyuo vinafunguliwa na hakuna lolote liliofanyika .Sasa sijui na hio tarehe 4 nayo watavusha tena sijui..
 
Back
Top Bottom