Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Wameshakuwekea Allocation katika SIPA yako Mimi Mdogo wangu ni continuous , Bado hajawekewa Allocation wewe kwa Mdogo wako vipi?
 
Aaanh nahis kama hajaekewa itakua labda aliefanya supp au chuo chake kimechelewa kupeleka matokeo bodi
 
Wameshakuwekea Allocation katika SIPA yako Mimi Mdogo wangu ni continuous , Bado hajawekewa Allocation wewe kwa Mdogo wako vipi?
Bado nadhan watakua wanaprocess ama mwaka huu hawatoi kabisa
 
St jose nadhan ni kwamb hawajakamilisha kupanga mikopo
 
Back
Top Bottom