meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Oky maana niliomba mkopo nimepata ila sitaenda chuo ndo nilikua nauliza hapoHawakudai usiposaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oky maana niliomba mkopo nimepata ila sitaenda chuo ndo nilikua nauliza hapoHawakudai usiposaini
Ulipewa % ngapi na ni chuo gani..?Oky maana niliomba mkopo nimepata ila sitaenda chuo ndo nilikua nauliza hapo
Udsm (coict) ni kama 50% mkuuUlipewa % ngapi na ni chuo gani..?
Swa mkuu, mwenzetu ushalamba Asali Serikalin Kila la kheriUdsm (coict) ni kama 50% mkuu
Ulipewa % ngapi na ni chuo gani..?
Wamekumwagia mpunga mrefu tu
Ndo hivyo nilikua nauliza wasije nidai Hela zao Bure🤣🤣Wamekumwagia mpunga mrefu tu
Ndo hivyo nilikua nauliza wasije nidai Hela zao Bure🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ok ngoja tuwapigie ili mkopo wako wapewe ambao hawajapata Hadi Muda huu.
uzuri umeweka details zako Wala hawatosumbuka.
Wameshakuwekea Allocation katika SIPA yako Mimi Mdogo wangu ni continuous , Bado hajawekewa Allocation wewe kwa Mdogo wako vipi?Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Aaanh nahis kama hajaekewa itakua labda aliefanya supp au chuo chake kimechelewa kupeleka matokeo bodiWameshakuwekea Allocation katika SIPA yako Mimi Mdogo wangu ni continuous , Bado hajawekewa Allocation wewe kwa Mdogo wako vipi?
Hajafanya supWameshakuwekea Allocation katika SIPA yako Mimi Mdogo wangu ni continuous , Bado hajawekewa Allocation wewe kwa Mdogo wako vipi?
Bado nadhan watakua wanaprocess ama mwaka huu hawatoi kabisaWameshakuwekea Allocation katika SIPA yako Mimi Mdogo wangu ni continuous , Bado hajawekewa Allocation wewe kwa Mdogo wako vipi?
Chuo gn yupo Mdogo ako?Bado nadhan watakua wanaprocess ama mwaka huu hawatoi kabisa
Kutofika hela na vyuo kufunguliwa n vitu viwili tofauti.Na Ela zmefika?
Sio kigezo cha kuchelewa ,ud weny sup carry wote wameekewa mikopoHajafanya sup
First year au continuing students...????Sisi leo ardhi tumepokea sms za boom tayari
Continuous kakaFirst year au continuing students...????