Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaingia mwaka wa 3 na Je hajawekewa Allocation?umeingia mwaka wa ngap xx hv?
Ni sahihi kabisa ata sera zake zilisua sua alibase kweny uchumi wa vitu na sio watu apo alifeli pakubwa kw nchi kama Tz,japo katik development prospectives anaonekan Yuko sahihi ila kiuhalisia miradi mingi ni white elephant haina effect kumgusa mtanzania wa hali ya chiniNazan serikal wana haja ya kusimamisha baadhi la miradi iloachwa na Jiwe lakin pia iache kuanzisha na kuingia mikataba ya miradi mingne mikubwa
Twende mbele turudi nyuma Katika miaka 5 ya Jiwe(Mwendazake)aliua na kuharibu uchumi sana na madhala yake yatachukua mda sana kuisha
Mwendazake kaharibu sana uchumi ata mikopo haiwezi kua solution
Sabu tunakopa pesa iyo pesa inaenda kwenye miradi mikubwa iloachwa na Jiwe
Pesa za tozo kodi zote Znaenda kwenye miradi mikubwa na matumizi ya serikal
Kwa mwendo huo kuna vtu ving sana vitasimama moja wapo ndo km ili la kuchelewa pesa za wanafunzi
Tunasubir Mtupe muongozoPoleni sana...
Yeah, naingia watatu,,, sms ya kusaini Boom nimetumiwa...ila Allocation kw Sipa hamna.We unaingia mwaka wa 3 na Je hajawekewa Allocation?
Ndyo hapo xx, inabid nisubir allocation kw SipaSasa umejuaje Kam Ada ni 100%?
Kazi ipo Sasa inakuaje mmetumiwa sms bila allocation SIPA.!?Ndyo hapo xx, inabid nisubir allocation kw Sipa
Inashangaza, hta me cjawah kuona kitu kama hcho[emoji28]Kazi ipo Sasa inakuaje mmetumiwa sms bila allocation SIPA.!?
mbona massage za allocation zishatufikia, kama kawaida bana msiwatwishe zigo kubwa, labda kwa hao first year.Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Alaf suala la kupungua na kuongezeka huwa hawangalii GPA kubwa wala ndogo hata kidogo.mbona massage za allocation zishatufikia, kama kawaida bana msiwatwishe zigo kubwa, labda kwa hao first year.
Kabisa naona wengi ada ni 100%Mwaka wa pili wanaonekana kuongezew ada,,, ngoj tuone kw wanaongia mwaka wa tatu...tuone kama watafany hvyo kama walivyo wafanyia ninyi..