Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kipnd cha magu mkopo tulio pata ilikua raha sana yaan hakuna kucheleweshwa naskia watu wanalalamika asaiv kama enz za kikwete
 
Nazan serikal wana haja ya kusimamisha baadhi la miradi iloachwa na Jiwe lakin pia iache kuanzisha na kuingia mikataba ya miradi mingne mikubwa
Twende mbele turudi nyuma Katika miaka 5 ya Jiwe(Mwendazake)aliua na kuharibu uchumi sana na madhala yake yatachukua mda sana kuisha
Mwendazake kaharibu sana uchumi ata mikopo haiwezi kua solution
Sabu tunakopa pesa iyo pesa inaenda kwenye miradi mikubwa iloachwa na Jiwe
Pesa za tozo kodi zote Znaenda kwenye miradi mikubwa na matumizi ya serikal
Kwa mwendo huo kuna vtu ving sana vitasimama moja wapo ndo km ili la kuchelewa pesa za wanafunzi
 
Continuous wote wameekewa ,uyu jamaa mbona ana claim !!
 
Ni sahihi kabisa ata sera zake zilisua sua alibase kweny uchumi wa vitu na sio watu apo alifeli pakubwa kw nchi kama Tz,japo katik development prospectives anaonekan Yuko sahihi ila kiuhalisia miradi mingi ni white elephant haina effect kumgusa mtanzania wa hali ya chini
 
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
mbona massage za allocation zishatufikia, kama kawaida bana msiwatwishe zigo kubwa, labda kwa hao first year.
 
mbona massage za allocation zishatufikia, kama kawaida bana msiwatwishe zigo kubwa, labda kwa hao first year.
Alaf suala la kupungua na kuongezeka huwa hawangalii GPA kubwa wala ndogo hata kidogo.

Hii ni kutokana na mwaka husika ukoje. Mfano mwaka wa jana wa masomo kuna watu tulikuwa tumepewa hela za field ila zikaondolewa kwa wote, watu tukafanya field bila hela.

Watu walikuwa wamewekewa ada kubwa mwaka wakwanza na wapili lkn mwaka wa pili ulipofika hela zikipunguzwa kwa wengine na wengine zikabak hivyo hivyo. Bila kujali ukubwa au udogo wa GPA
 
Back
Top Bottom