Kwa nini Serikali iendelee ubaguzi wa kikoloni? Humu Kuna watu wa Serikali wanaweza kubadilisha mambo.Wewe utakaa hapa kulialia na hamna kitakachoendelea.
Watu wa Arusha wameanza kujenga shule zao, makanisa yao, mahoteli na kufanya biashara kubwa za kilimo tangu enzi za uhuru.
Hata wakati wa ujamaa Arusha ilikuwa na wazungu waingereza settlers na mashamba makubwa ya kahawa. Arusha ni makao makuu ya EAC na siyo utalii tu, mikutano na concerts, mashindano ya riadha, pia Arusha ina golf courses nzuri na mambo mengi ya kimataifa.
Huwezi hata kidogo kuondoa mchango mkubwa wa wakazi wa Arusha katika kuinua uchumi wa jiji lao (ingawa wengi ni wachaga).
Kwa Sasa Kwa.kuwa mda ni finyu na Afcon sio viwanja tuu panafaa ila Kwa maslahi mapana ya Nchi hii Serikali ianze kujenga miundombinu yenye hadhi ikiwa ni pamoja na viwanja Mbeya na Mwanza.Lakini Arusha hapafai kujenga sio?
Wewe ni chawa.Stupid Mimi sio chawa
Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?
Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya. On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni...www.jamiiforums.com
Kuna sehemu Nchi hii hakuna Utalii? Tumekosa miundombinu tuu ambayo Arusha imependelewa Kwa mda mrefu ndio sababu inaonekana Iko vizuri Kwa Sasa.Huwezi fananisha Mwanza na Geneva of Africa.
Dar penyewe panaizidi Arusha kwa bahari tu.
Arusha pale ni mahali sahihi tunaua ndege wawili,
Mpira na utalii.
Mbuga za wanyama zitafurika wageni.
Unajua kwa nn wanapeleka huko?Kwa Sasa Kwa.kuwa mda ni finyu na Afcon sio viwanja tuu panafaa ila Kwa maslahi mapana ya Nchi hii Serikali ianze kujenga miundombinu yenye hadhi ikiwa ni pamoja na viwanja Mbeya na Mwanza.
TFF imepeleka mradi wa fifa Arusha na Tanga tunajua sio kwamba hatujui.
Maswali ya kijinga sitaki,soma tena maelezo haya umeyakoti Kuna majibu humo.Unajua kwa nn wanapeleka huko?
Wewe na Mama si damudamu.Hadi Sasa zipo.Tuna timu 2 Ligi kuu na timu 4 championship lakini Serikali ya ccm haioni hilii kuwa ni muhimu.
Huyo akishindwa hoja anaanza viroja, ni nduminakuwili. Hebu pitia hizi nyuzi umsome akizungumzia Mwanza na Mbeya!Unalalamika nini sasa?
Kumbuka wewe ni chawa na kazi ya chawa inafahamika. Kusifia mabwana zako.
Inatakiwa ujikite kwenye kazi yako ya uchawa na si kulalamika.
Onyesha wapi nasema uongo au nipo nje ya mda?
Hakuna majibu huko...Maswali ya kijinga sitaki,soma tena maelezo haya umeyakoti Kuna majibu humo.
Wewe jinga umepona stroke?Huwezi fananisha Mwanza na Geneva of Africa.
Dar penyewe panaizidi Arusha kwa bahari tu.
Arusha pale ni mahali sahihi tunaua ndege wawili,
Mpira na utalii.
Mbuga za wanyama zitafurika wageni.
Kimsingi akili Yako ni finyu kama funza ndio maana huwezi nielewa.Huyo akishindwa hoja anaanza viroja, ni nduminakuwili. Hebu pitia hizi nyuzi umsome akizungumzia Mwanza na Mbeya!
Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo
na bandiko hili....
Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo
Eti unajenga bandari ya Karema Ili upunguze Malori Tunduma, kwa Jiografia ipi hiyo?
Halafu, cheki hapa napo
Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)
Utagundua jamaa ni Nduminakuwili, mzandiki, na mnyanyasaji.
Hiyo niHii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.
Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.
Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.
Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;
Mwanza
- Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
- Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
- Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
- Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.
Mbeya
- Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
- Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
- Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
- Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.
Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.
Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.
Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.
Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.
Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
View attachment 2766050View attachment 2766051View attachment 2766052
Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.Nachokonoa mada Kwa maslahi mapana ya Nchi hii na watu wa Mbeya na Mwanza.
Hiyo ipo kwenye ilani ya Chama Cha mapinduzi kwahiyo acha waitekeleze.Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.

Arusha choka mbaya,nikifikaga Stendi yake ya Mabus nawaza Nipo kakonkoo....Arusha ni senta iliyochangamka mji unanika BangiiiArusha ni mji bora na uliondelea kuliko mwanza. na ni mji wenye infrastructures bora kuliko Mwanza na mbeya combined.
Mimi nilitamani iwe Arusha, Dar na Zanzibar. Hiyo mikoa mingine imekaa kushoto.
Ukurasa wa ngapi?Hiyo ni
Hiyo ipo kwenye ilani ya Chama Cha mapinduzi kwahiyo acha waitekeleze.
Huu sasa ndo ufafanuzi wa kitaalam, wengine wanaleta ushabiki wa kisiasa na kikabila bila kujua lengo la serikali kuomba kuandaa hii michuano ya kimataifa.Mkuu unatakiwa kufahamu kwamba Viwanja vilivyochaguliwa vimechaguliwa kimkakati siyo kwa kukurupuka...
Arusha ndiyo makao makuu ya Umoja wa Afrika mashariki....na Ndiyo kitovu cha utalii nchini...kimkakati ingekuwa Kosa kubwa sana kutoijumuisha Arusha kwenye Hii michuano..
Kumbuka lengo mojawapo la Kuomba kuandaa michuano hii siyo kwa ajili ya wapenzi wa soka kufurahi pekee bali pia kutangaza Utalii na mambo mengine...
Hata Quatar, Russia, Brazil, South Afrika na nchi nyingine zilizofanikiwa kuandaa World cup zilikuwa pia na lengo la kuzitanga a nchi zao..
Kimkakati ni rahisi kwa Mkoa wa Arusha kuitangaza Tanzania kuliko mkoa wa Mwanza na Mbeya kwa pamoja.. Kwa sababu ya Vivutio vya Utalii na Hadhi ya jiji lenyewe...
Uwepo wa Fly Overs na Magorofa siyo kigezo pekee cha kufanya mkoa kuitangaza Nchi..
Hata hivyo Tanzania ni yetu sote.....
Majibu yako kwenye mabandiko yako yanaelezea hadithi tofauti na unavyotaka kufafanua-kutolea maelezo ya hujuma zako!Nikiwa kwenye Ligi zetu za Mwanza vs Arusha ni wazi Arusha Iko mbele lakini hoja ni Ile Ile ya kupendelewa kama ilivyo kwenye mada yangu.
Nikiwa kwenye siasa za kumhusu Samia walau amejitahidi kulinganisha na watangulizi wake and so ndio maana nataka afanye zaidi Ili kuondoa notion ya ubaguzi wa miaka Mingi ambao kimsingi unatokana na mambo ya siasa.
Mwisho Mimi ni mtu wa Nyanda za Juu Kusini Mbeya na Njombe nataka hadhi inayosyahili.kwa.Mkoa wangu sio Kwa hisani Bali Kwa Haki kama nilivyoeleza kweybandiko langu.
Tukiacha ushabiki pembeni Mwanza na Mbeya wanapaswa kujengewa viwanja vikubwa vya mpira kama ule Uwanja Mkapa Dar.
Hujala Leo??Wewe jinga umepona stroke?
Upo kama bendera kufuata upepo.
Leo unasimamia hili kesho lile.
Kumbuka kipindi cha nyuma ulivyokuwa unalamba wakalio ya wanasiasa wa CCM.
Vipi siku hizi umezeeka dada mabwana wanakukimbia?