Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Game nyingi sana za maana zimechezwa Arusha, na ule mji umeandaa mashindano na events kubwa za kimataifa na watu wake wamekuwa wenyeji wa matukio mengi sana ya kimataifa na mji ule unaweza hata sasa hivi kupokea wageni wengi wa caliber ya juu.
Msifananishe Arusha na mwanza, hayo ni mambo ya humu jamiiforums siyo kiuhalisia.
Miundombinu unayoita Bora hapo Arusha imeshushwa na mvua? Ni upendeleo ule ule tunaojadili hapa.

Mnachukua pesa zetu mnaenda kujenga Arusha,Dom na Dar.
 
Kwanza kuna watu kutoka corners nyingine za Africa hawajawahi kuliona Ziwa Victoria, hii ingekuwa fursa kwao. Ingawa Arusha nayo inafaa kwa kuwa kuna vivutio wa watalii vingi.

Tatizo la Arusha nawahurumia wageni. Ule mji hauna adabu kabisa:umejaa wahuni, wasela mavi, wavuta bangi na wezi kama wote. A typically hooligan place! Wageni wetu wanaenda kuibiwa, kujeruhiwa, kupigwa vidole sehemu nyeti, kubakwa,n.k. MJI WA HOVYO SANA ULE!
Hehe ... Arusha is the most visited city in Tanzania ukiondoa watu wa ndani na on transit.
 
Ninavyo siku zote mbona
Wewe kenge umeona sasa hao mabwana zako unaowasifia kila siku lakini bado hawajali chochote kuhusu wewe na mkoa unaoishi au asili yako ilipo.

Utasifia sana wanaume lakini kumbuka mwisho wa siku wananchi ndiyo washindi na si serikali.

Inashangaza dada mrembo kama wewe badala ya kutafuta mume wa ukweli akuweke ndani unajidanganja kusifia wanasiasa uchwara wakupatie hisani na huruma uendeshe maisha yako.

Shenzi kabisa.
 
Ligi kuu tanzania presons na Ihefu championship kuna mbey city,kengold, na hawa waliotoroka mbeya kwanza.

Nenda dodoma arusha tim ya mwisho kuwa ligi kuu ilikuwa kabla mwaka haujageuka kuwa namb 2. Na hwana hata habar na mipira ni kitakuwa godown la bidhaaa yaaan
 
Hehe ... Arusha is the most visited city in Tanzania ukiondoa watu wa ndani na on transit.
Sasa Utalii na michezo wapi na wapi? Tunaeudi kule kule Kila sehemu Kuna vivutio vya kipele vya Utalii ila upendeleo wa kimiundombinu miaka na miaka ndio Leo vinakupa jeuri ya kusema Arusha is most visited na blaa blaa kibao.

Toka miaka na miaka watu wa Kaskazini wanapiga vita ujenzi wa Airport kubwa Mwanza na Serengeti Kwa sababu kwao kutakufa ,hamna Cha kuingizia pesa ila time itaamua tuu Wala msijali.
 
Wewe kenge umeona sasa hao mabwana zako unaowasifia kila siku lakini bado hawajali chochote kuhusu wewe na mkoa unaoishi au asili yako ilipo.

Utasifia sana wanaume lakini kumbuka mwisho wa siku wananchi ndiyo washindi na si serikali.

Inashangaza dada mrembo kama wewe badala ya kutafuta mume wa ukweli akuweke ndani unajidanganja kusifia wanasiasa uchwara wakupatie hisani na huruma uendeshe maisha yako.

Shenzi kabisa.
Jikite kwenye hoja ,ondoa utaahira wako
 
Haya chini ni majibu ya Choisi variebo kuhusu mkoa wa Mwanza.

Uzi ulisema

MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake​

Yeye akajibu yafuatayo
Hadhi ni Mapato ,huna mapato unataka hadhi gani Sasa?
...hayo yalikuwa kuhusu Mwanza. Ukishuka hapa chini, kuna uzi uliogusa maendeleo ya mbeya.... mada ......
3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo

... alisema haya kuhusu wana wa Mbeya kufuatia hayo ya juu.....
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.

Leo hii kaanzisha Uzi?? na Kudai wametengwa, wakati yeye akiwa wakwanza na nongwa na kuwanyanyasa wenyeji wa mikoa hiyo!!

Je anatafuta nini?
 
Kama nyinyi mnabaguliwa na sisi wa Ruvuma, Mtwara na Lindi tusemeje?
Hamna mnachochangia kwenye uchumi kuwashinda waliopendelewa.

Mkoa kama Ruvuma Kwa Sasa nao unapendelewa kisa una viongozi wengi japo siwezi sema kwamba ni upendeleo ila ulichekewa sana.
 
Arusha na mpira wali na wapi? Hawana hata team kwenye premier league 😏😏
 
Haya chini ni majibu ya Choisi variebo kuhusu mkoa wa Mwanza.

Uzi ulisema

MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake​

Yeye akajibu yafuatayo

...hayo yalikuwa kuhusu Mwanza. Ukishuka hapa chini, kuna uzi uliogusa maendeleo ya mbeya.... mada ......
3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo

... alisema haya kuhusu wana wa Mbeya kufuatia hayo ya juu.....

Leo hii kaanzisha Uzi?? na Kudai wametengwa, wakati yeye akiwa wakwanza na nongwa na kuwanyanyasa wenyejibwa mikoa hiyo!!

Je anatafuta nini?
Nikiwa kwenye Ligi zetu za Mwanza vs Arusha ni wazi Arusha Iko mbele lakini hoja ni Ile Ile ya kupendelewa kama ilivyo kwenye mada yangu.

Nikiwa kwenye siasa za kumhusu Samia walau amejitahidi kulinganisha na watangulizi wake and so ndio maana nataka afanye zaidi Ili kuondoa notion ya ubaguzi wa miaka Mingi ambao kimsingi unatokana na mambo ya siasa.

Mwisho Mimi ni mtu wa Nyanda za Juu Kusini Mbeya na Njombe nataka hadhi inayosyahili.kwa.Mkoa wangu sio Kwa hisani Bali Kwa Haki kama nilivyoeleza kweybandiko langu.
 
Unalalamika nini sasa?

Kumbuka wewe ni chawa na kazi ya chawa inafahamika. Kusifia mabwana zako.

Inatakiwa ujikite kwenye kazi yako ya uchawa na si kulalamika.

Onyesha wapi nasema uongo au nipo nje ya mda?
Stupid Mimi sio chawa
 
Hizi ni Siasa tu za kuogopa Ukubwa wa Kabila la wa Sukuma ndy lilifanya Mwanza itengwe na Serikali Miaka yote?

Yani Mkoa km Mwanza unakosa Chuo cha Serikali wkt wasomi wengi wapo Kanda ya Ziwa.

Tuachane na hayo ss hii AFCON kutokuipeleka Mwanza ni wazi wazi kuwa Serikali haina Mipango na Mwanza .

Km 2006 Mechi ya Senegal Vs Tanzania ilichezewa CCM Kirumba wkt Tanzania uwanja wa Taifa ulikuwa wa Uhuru (Shamba la Bibi) kabla Kwa Mkapa apajafunguliwa ss sijui ni Shida na Serikali yetu
 
Sasa Utalii na michezo wapi na wapi? Tunaeudi kule kule Kila sehemu Kuna vivutio vya kipele vya Utalii ila upendeleo wa kimiundombinu miaka na miaka ndio Leo vinakupa jeuri ya kusema Arusha is most visited na blaa blaa kibao.

Toka miaka na miaka watu wa Kaskazini wanapiga vita ujenzi wa Airport kubwa Mwanza na Serengeti Kwa sababu kwao kutakufa ,hamna Cha kuingizia pesa ila time itaamua tuu Wala msijali.
Wewe utakaa hapa kulialia na hamna kitakachoendelea.
Watu wa Arusha wameanza kujenga shule zao, makanisa yao, mahoteli na kufanya biashara kubwa za kilimo tangu enzi za uhuru.
Hata wakati wa ujamaa Arusha ilikuwa na wazungu waingereza settlers na mashamba makubwa ya kahawa. Arusha ni makao makuu ya EAC na siyo utalii tu, mikutano na concerts, mashindano ya riadha, pia Arusha ina golf courses nzuri na mambo mengi ya kimataifa.
Huwezi hata kidogo kuondoa mchango mkubwa wa wakazi wa Arusha katika kuinua uchumi wa jiji lao (ingawa wengi ni wachaga).
 
Wasukuma hatutaki utani kipindi hiki. Tena tunaushawishi mkubwa katika nchi hii. Ndoto Beteko, tafadhali fanya kazi yako. Hakikisha wasukuma wote wako serikalini, alikoishia jembe letu tusirudi nyuma. Huyu mama ameanza kutuondoa kwenye reli, na mfano halisi ni hili la viwanja wa michezo ya Afcon. Kwani hajui kwamba SGR imeletwa kanda ya ziwa na sio huko kwa hao wahuni? Maendeleo lazima yaanzie kanda pendwa yetu hii ndio yasambae mikoa mingine. Bila kufanya hibyo hatanusa kura yetu na akikosa tu kura zetu uraisi hausahau. Kumbuka tuna 1/3 ya population ya nchi hii. Hata kama miji yetu haijaendelea, kwani hajui kwamba wageni wanapenda viazi? Je viazi havipo kanda ya ziwa? Hajui kwamba kanda ya ziwa ndio yenye watu wenye high purchasing power na hivyo wangejaza viwanja? Hii serikali iache dharau, wana bahati jembe letu lisingeondoka leo Mwanza ingekuwa zaidi ya Dar! Shubamiti!!!!
 
Hizi ni Siasa tu za kuogopa Ukubwa wa Kabila la wa Sukuma ndy lilifanya Mwanza itengwe na Serikali Miaka yote?

Yani Mkoa km Mwanza unakosa Chuo cha Serikali wkt wasomi wengi wapo Kanda ya Ziwa.

Tuachane na hayo ss hii AFCON kutokuipeleka Mwanza ni wazi wazi kuwa Serikali haina Mipango na Mwanza .

Km 2006 Mechi ya Senegal Vs Tanzania ilichezewa CCM Kirumba wkt Tanzania uwanja wa Taifa ulikuwa wa Uhuru (Shamba la Bibi) kabla Kwa Mkapa apajafunguliwa ss sijui ni Shida na Serikali yetu
Kwani lazima serikali iwajengee vyuo/ Si mjenge wenyewe, kwani tatizo lipo wapi.
 
Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...

CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Mkuu unatakiwa kufahamu kwamba Viwanja vilivyochaguliwa vimechaguliwa kimkakati siyo kwa kukurupuka...

Arusha ndiyo makao makuu ya Umoja wa Afrika mashariki....na Ndiyo kitovu cha utalii nchini...kimkakati ingekuwa Kosa kubwa sana kutoijumuisha Arusha kwenye Hii michuano..

Kumbuka lengo mojawapo la Kuomba kuandaa michuano hii siyo kwa ajili ya wapenzi wa soka kufurahi pekee bali pia kutangaza Utalii na mambo mengine...

Hata Quatar, Russia, Brazil, South Afrika na nchi nyingine zilizofanikiwa kuandaa World cup zilikuwa pia na lengo la kuzitanga a nchi zao..

Kimkakati ni rahisi kwa Mkoa wa Arusha kuitangaza Tanzania kuliko mkoa wa Mwanza na Mbeya kwa pamoja.. Kwa sababu ya Vivutio vya Utalii na Hadhi ya jiji lenyewe...

Uwepo wa Fly Overs na Magorofa siyo kigezo pekee cha kufanya mkoa kuitangaza Nchi..

Hata hivyo Tanzania ni yetu sote.....
 
Back
Top Bottom