Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miundombinu unayoita Bora hapo Arusha imeshushwa na mvua? Ni upendeleo ule ule tunaojadili hapa.Game nyingi sana za maana zimechezwa Arusha, na ule mji umeandaa mashindano na events kubwa za kimataifa na watu wake wamekuwa wenyeji wa matukio mengi sana ya kimataifa na mji ule unaweza hata sasa hivi kupokea wageni wengi wa caliber ya juu.
Msifananishe Arusha na mwanza, hayo ni mambo ya humu jamiiforums siyo kiuhalisia.
Hehe ... Arusha is the most visited city in Tanzania ukiondoa watu wa ndani na on transit.Kwanza kuna watu kutoka corners nyingine za Africa hawajawahi kuliona Ziwa Victoria, hii ingekuwa fursa kwao. Ingawa Arusha nayo inafaa kwa kuwa kuna vivutio wa watalii vingi.
Tatizo la Arusha nawahurumia wageni. Ule mji hauna adabu kabisa:umejaa wahuni, wasela mavi, wavuta bangi na wezi kama wote. A typically hooligan place! Wageni wetu wanaenda kuibiwa, kujeruhiwa, kupigwa vidole sehemu nyeti, kubakwa,n.k. MJI WA HOVYO SANA ULE!
Wewe kenge umeona sasa hao mabwana zako unaowasifia kila siku lakini bado hawajali chochote kuhusu wewe na mkoa unaoishi au asili yako ilipo.Ninavyo siku zote mbona
Sasa Utalii na michezo wapi na wapi? Tunaeudi kule kule Kila sehemu Kuna vivutio vya kipele vya Utalii ila upendeleo wa kimiundombinu miaka na miaka ndio Leo vinakupa jeuri ya kusema Arusha is most visited na blaa blaa kibao.Hehe ... Arusha is the most visited city in Tanzania ukiondoa watu wa ndani na on transit.
Jikite kwenye hoja ,ondoa utaahira wakoWewe kenge umeona sasa hao mabwana zako unaowasifia kila siku lakini bado hawajali chochote kuhusu wewe na mkoa unaoishi au asili yako ilipo.
Utasifia sana wanaume lakini kumbuka mwisho wa siku wananchi ndiyo washindi na si serikali.
Inashangaza dada mrembo kama wewe badala ya kutafuta mume wa ukweli akuweke ndani unajidanganja kusifia wanasiasa uchwara wakupatie hisani na huruma uendeshe maisha yako.
Shenzi kabisa.
...hayo yalikuwa kuhusu Mwanza. Ukishuka hapa chini, kuna uzi uliogusa maendeleo ya mbeya.... mada ......Hadhi ni Mapato ,huna mapato unataka hadhi gani Sasa?
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.
Hamna mnachochangia kwenye uchumi kuwashinda waliopendelewa.Kama nyinyi mnabaguliwa na sisi wa Ruvuma, Mtwara na Lindi tusemeje?
Unalalamika nini sasa?Jikite kwenye hoja ,ondoa utaahira wako
Pointi!Arusha na mpira wali na wapi? Hawana hata team kwenye premier league 😏😏
Nikiwa kwenye Ligi zetu za Mwanza vs Arusha ni wazi Arusha Iko mbele lakini hoja ni Ile Ile ya kupendelewa kama ilivyo kwenye mada yangu.Haya chini ni majibu ya Choisi variebo kuhusu mkoa wa Mwanza.
Uzi ulisema
MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake
Yeye akajibu yafuatayo
...hayo yalikuwa kuhusu Mwanza. Ukishuka hapa chini, kuna uzi uliogusa maendeleo ya mbeya.... mada ......
3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo
... alisema haya kuhusu wana wa Mbeya kufuatia hayo ya juu.....
Leo hii kaanzisha Uzi?? na Kudai wametengwa, wakati yeye akiwa wakwanza na nongwa na kuwanyanyasa wenyejibwa mikoa hiyo!!
Je anatafuta nini?
Stupid Mimi sio chawaUnalalamika nini sasa?
Kumbuka wewe ni chawa na kazi ya chawa inafahamika. Kusifia mabwana zako.
Inatakiwa ujikite kwenye kazi yako ya uchawa na si kulalamika.
Onyesha wapi nasema uongo au nipo nje ya mda?
Wewe utakaa hapa kulialia na hamna kitakachoendelea.Sasa Utalii na michezo wapi na wapi? Tunaeudi kule kule Kila sehemu Kuna vivutio vya kipele vya Utalii ila upendeleo wa kimiundombinu miaka na miaka ndio Leo vinakupa jeuri ya kusema Arusha is most visited na blaa blaa kibao.
Toka miaka na miaka watu wa Kaskazini wanapiga vita ujenzi wa Airport kubwa Mwanza na Serengeti Kwa sababu kwao kutakufa ,hamna Cha kuingizia pesa ila time itaamua tuu Wala msijali.
Kwani lazima serikali iwajengee vyuo/ Si mjenge wenyewe, kwani tatizo lipo wapi.Hizi ni Siasa tu za kuogopa Ukubwa wa Kabila la wa Sukuma ndy lilifanya Mwanza itengwe na Serikali Miaka yote?
Yani Mkoa km Mwanza unakosa Chuo cha Serikali wkt wasomi wengi wapo Kanda ya Ziwa.
Tuachane na hayo ss hii AFCON kutokuipeleka Mwanza ni wazi wazi kuwa Serikali haina Mipango na Mwanza .
Km 2006 Mechi ya Senegal Vs Tanzania ilichezewa CCM Kirumba wkt Tanzania uwanja wa Taifa ulikuwa wa Uhuru (Shamba la Bibi) kabla Kwa Mkapa apajafunguliwa ss sijui ni Shida na Serikali yetu
Mkuu unatakiwa kufahamu kwamba Viwanja vilivyochaguliwa vimechaguliwa kimkakati siyo kwa kukurupuka...Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...
CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Lakini Arusha hapafai kujenga sio?Tukiacha ushabiki pembeni Mwanza na Mbeya wanapaswa kujengewa viwanja vikubwa vya mpira kama ule Uwanja Mkapa Dar.