Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Baada ya hayo mashindano huo uwanja utaenda kutumika kwenye nini hapo Arusha, mmezoea kujilimbikizia miradi kwa kutumia jasho la mikoa mingine.
Hakuna mkoa zaidi ya dar na Arusha unaoipa serikali mapato ya kujiendesha na maendeleo.
Tofauti kati ya Dar na Arusha ni kwamba Arusha inaizidi Dar kwa mapato ya NGO foreign exchange ambayo inachangia serikali kuwa na uwezo wa kufanya miradi na kununa madawa, machinery etc...

Kwa hiyo , wewe waambie hao watu wengine lakini mimi najua by data kwamba Arusha ni mkoa muhimu sana kwa Tanzania na haupati miradi proportional to its revenue collection.
Panga pangua mwanza haikufaa hata kupata Airport kubwa kuliko Arusha, haifai hata kuinvest ni hasara tupu. There will never be tax collected in Mwanza kupita Arusha hata serikali ikisema sasa hatuwekezi Arusha.
Uwanja siyo wa mpira tu, uwanja ule unaweza ku-host track meets (mashindano ya riadha), mashindano ya majeshi ya dunia na Africa, mashindano ya walemavu etc.. na Arusha bado ikahimili ugeni wake.
 
Hawa ndio wanasababisha miaka yote Mwanza tusipate uwanja wa ndege kwa kuiogopa Mwnza lakini ipo siku.
 
Kwani lazima serikali iwajengee vyuo/ Si mjenge wenyewe, kwani tatizo lipo wapi.
Tunaongelea Jambo la Allocation of Resources vyuo vya Binafs vipo lkn tunahitaji cha Serikali. Ili watoto wa maskin wanaoshindwa kumudu Gharama za Kujikimu katikat vyuo vya Mkoani (UDSM & UDOM) wasogezewe karbu
 
Miundombinu gani ambayo Mwanza na mbeya hamna unaweza kutaja?
Financing, conferencing, hospitality infrastructures muhimu kwa events kubwa.
Security na emergency provision, hapa namaanisha Policing, para-military na military responses, medical.
Luxury/leisure hapa sizungumzii vigodoro ila sehemu za bata batani na siyo bar za ulanzi.
 
Huyo doto biteko ndio atafanya nini tusipodai haki yetu, achana na mwanasiasa hayupo kwa maslahi yako bali yeye, tumbo lake na familia yake.
 
Unatakiwa usajiliwe band ya taarab ukaimbe taarab pale zanzibar modern taarab, nimekuandalia mkataba utakaa meza moja na khadija kopa.
 
Arusha lazima kuna utaliii kule lazima tupate hela na Dodoma ni capital city Dar hatuhitaji kuielezea.
 
Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...

CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Arusha unajengwa mpya sio ukarabati
 
Kuna sehemu hatari kuishi hapa Tabzania zaidi ya arusha, security gani mliopo nayo, hapo mlichotuxid ni conference tu hakuna kingine.
 
Lakini Arusha hapafai kujenga sio?
Hakuna mtu ambaye amekataa viwanja visijengwe huko porini, lakini wajenge pia na miji kama Mwanza na Mbeya yenye wakazi wengi, na wanaochangia pato ghafi kubwa zaidi nje ya dar pia imepakana na miji mikubwa ya nchi jirani.
 
Crap
 
Mimi nimekerekwa na kupelekwa baadhi ya mechi kule chamba wima kwa wale magoi goi wanywa urojo, badala ya kupeleka hizo mechi hata mwanza wanapeleka kule ambako hata mpira umewashinda kuendesha
 
Zaid ya bilion 512 yanatokana utalii yaani pesa za wazungu, wenyeji zaidi ya kuongoza kwa bangi mna nini kingine, kwani wakiweka mikakati mbuga serengeti na kila sector na kila kitu kinachohusina na serengeti kikusanywe Mara au simiyu nyie mtakuwa kama Lindi.
 
Hakuna mtu ambaye amekataa viwanja visijengwe huko porini, lakini wajenge pia na miji kama Mwanza na Mbeya yenye wakazi wengi, na wanaochangia pato ghafi kubwa zaidi nje ya dar pia imepakana na miji mikubwa ya nchi jirani.
Unajua wewe naona sana comments zako lakini sijihusishi nazo...

Kwa taarifa yako Mwanza inaipita Arusha kwa population tuu...

Baada ya Dar mkoa unaofuata kwa kukusanya mapato na maendeleo ni Arusha...
Ukija hata private investments Mwanza wako nyuma sana...
Serikali inaangalia kuitangaza nchi hasa eneo la utalii...
Sasa wewe inakuuma nn?
Huko mbeleni pia Mwanza na Mbeya bajeti ikiruhusu watapata viwanja
 
Mwanza haina hadhi ya kubeba wagen wa kimataifa ukilinganisha na Arusha....5* hotels mwanza ni za kuhesabu....tuache tu chuki,mpk inqchaguliwa Arusha Kuna tathmin zimefanyika
 
Kipimo cha uchumi ni mapato ya TRA au GDP? Naomba ubaki na ujinga wakona upendeleo wenu....Arusha inaingia mara tatu kwa Mwanza kiuchumi na mara mbili kwa mbeya bado unataka nibishane na wewe nenda kabishane na wapuliza ganja wenzio.
 
Kipimo cha uchumi ni mapato ya TRA au GDP? Naomba ubaki na ujinga wakona upendeleo wenu....Arusha inaingia mara tatu kwa Mwanza kiuchumi na mara mbili kwa mbeya bado unataka nibishane na wewe nenda kabishane na wapuliza ganja wenzio.
Wewe pungwani kaa na ubishi wako
 
Mwanza haina hadhi ya kubeba wagen wa kimataifa ukilinganisha na Arusha....5* hotels mwanza ni za kuhesabu....tuache tu chuki,mpk inqchaguliwa Arusha Kuna tathmin zimefanyika
Kwanza umeelewa mantiki ya mada yangu?

Kwa Sasa ni kweli Haina ila hiyo tabia ikome Kwa sababu sio Kwa bahati mbaya Bali upendeleo wa miaka yote ndio umeleta huu utofauti.
 
Acha kuropoka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…