Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hakuna mkoa zaidi ya dar na Arusha unaoipa serikali mapato ya kujiendesha na maendeleo.Baada ya hayo mashindano huo uwanja utaenda kutumika kwenye nini hapo Arusha, mmezoea kujilimbikizia miradi kwa kutumia jasho la mikoa mingine.
Tofauti kati ya Dar na Arusha ni kwamba Arusha inaizidi Dar kwa mapato ya NGO foreign exchange ambayo inachangia serikali kuwa na uwezo wa kufanya miradi na kununa madawa, machinery etc...
Kwa hiyo , wewe waambie hao watu wengine lakini mimi najua by data kwamba Arusha ni mkoa muhimu sana kwa Tanzania na haupati miradi proportional to its revenue collection.
Panga pangua mwanza haikufaa hata kupata Airport kubwa kuliko Arusha, haifai hata kuinvest ni hasara tupu. There will never be tax collected in Mwanza kupita Arusha hata serikali ikisema sasa hatuwekezi Arusha.
Uwanja siyo wa mpira tu, uwanja ule unaweza ku-host track meets (mashindano ya riadha), mashindano ya majeshi ya dunia na Africa, mashindano ya walemavu etc.. na Arusha bado ikahimili ugeni wake.