Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Badala ya Dodoma kimakakati serikali ingeweka uwanja mkoa wa Mwanza kwa sababu ni karibu na nchi mbili za Uganda na Kenya hivyo kuna mechi ingeweza kupata mashabiki wataosogea toka nchi hizo mbili...
 
Tunakoelekea tutaanza kudai tuwe na serikali za majimbo na serikali kuu. Hii biashara ya baadhi ya Kanda kukusanya mapato mengi na kuyapeleka serikali kuu miaka nenda rudi halafu serikali hairudishi pesa za kutosha katika Kanda hizo kwa njia ya miradi mikubwa ni ujinga.

Hii pia inaweza kustimulate maendeleo yapatikane kwenye kila Kanda husika kwa haraka zaidi kuliko ilivyo sasa. Kanda zenye wazembe ndio serikali itazibeba au kuzikemea.
 
Mbeya kuna hoteli za kutosha..?? Kuna kiwanja cha ndege chenye hadhi km cha kilimanjaro JKN .. ? Acheni ujuaji kwq kila kitu arusha imechaguliwa coz hotel zipo pale arusha na moshi zipo na nikaribu tu na arusha. Pia arusha itatuongezea wataliii hii tunaua ndege wawili kwa jiwe moja. Mbeye wakafuate nn ..? Mbona Tanga hawalalamiki na wanastahili
 
Badala ya Dodoma kimakakati serikali ingeweka uwanja mkoa wa Mwanza kwa sababu ni karibu na nchi mbili za Uganda na Kenya hivyo kuna mechi ingeweza kupata mashabiki wataosogea toka nchi hizo mbili...
Kati ya mwanza na chuga wapi karibu na nairobi..?? Mlijengewa madaraja na mwenda zake mbona hatumaind..? Watu wa kanda ya ziwa wabinafsi mno
 
Kabsa mkuu Hiyo mwanza yao ni miaka 2 mbele kimapato itaachwa na Tanga parefu.huko mbeya ndio kabsa wasiseme watulie tu
 
Kabla ya kukurupuka uwe unasoma bandiko ,stupid.

Hakuna mahala nimesema wasipeleke Afcon huko unakokutaja Bali nimesema tumefika hapa Kwa sababu za upendeleo wa miaka Mingi wa Serikali na kutaka hii ikomeshwe.

Hivyo unavyoviona Arusha havikushushwa na Mvua hata Dom tunazungumzia Leo hii ni Kwa sababu Serikali imeweka efforts.

Sasa efforts hiyo hiyo iwekwe na Mikoa tajwa hapo Juu ikizingatiwa sisi ndio tunazalisha uchumi mkubwa na hata tukigawana fito haipiti miaka 10 Meza kupinduka Kwa Kila kitu.
 
Kabsa mkuu Hiyo mwanza yao ni miaka 2 mbele kimapato itaachwa na Tanga parefu.huko mbeya ndio kabsa wasiseme watulie tu
Wapumbavu wakubwa,mnajua hata maana ya GDP? Kiufupi GDP inasoma transactions zote zilizofanyika Mkoa husika Kwa mwaka husika zikiwemo za TRA.

Sasa ulichukua hiyo hesabu Arusha Iko mkiani huko.
 
Upe
Upendeleo lazima mkuu kwa sababu ya potentiality ya mkoa husika. Mbeya ipewe kuandaa africon tutakua taifa la vichaaa mazwazwa fanaleki
 
Upe

Upendeleo lazima mkuu kwa sababu ya potentiality ya mkoa husika. Mwemba ipewe kuandaa africon tutakua taifa la vichaaa mazwazwa fanaleki
Kati ya anachangia uchumi mkubwa na asiyechangia wapi kunahitaji upendeleo?

Tunakoelekea tutagawana fito Ili mpendeleane vizuri
 
Wapumbavu wakubwa,mnajua hata maana ya GDP? Kiufupi GDP inasoma transactions zote zilizofanyika Mkoa husika Kwa mwaka husika zikiwemo za TRA.

Sasa ulichukua hiyo hesabu Arusha Iko mkiani huko.
Sawa tupe ushahidi. Mbeya hata hoteli hakuna za kueleweka unatusumbua hapa. Eti mbeya iipite arusha kimapato 🤣🤣🤣🤣 mkuu hiyo kilevi unatumia achan nayo
 
Mshike mshikrle

Wadau mshike mshike.
Mtie nanga akileta matata....

Nimekumbuka kibao hiki cha twanga pepeta akina Luiza..
Kula chuma hicho huku mkiendelea na mtanange.
 
Sawa tupe ushahidi. Mbeya hata hoteli hakuna za kueleweka unatusumbua hapa. Eti mbeya iipite arusha kimapato 🤣🤣🤣🤣 mkuu hiyo kilevi unatumia achan nayo
Ili Hoteli zijengwe ni mazingira yanawekwa na Serikali

Hawa wamejitutumua tuu kibishi
 
Kuna sehemu hatari kuishi hapa Tabzania zaidi ya arusha, security gani mliopo nayo, hapo mlichotuxid ni conference tu hakuna kingine.
Maana ya infrastructure unaijua? Hapo ni ukaribu wa kambi na vikosi vikubwa vya ku-handle mambo ya kiusalama, siyo wizi wa simu tu, hata terrorism.
 
Maana ya infrastructure unaijua? Hapo ni ukaribu wa kambi na vikosi vikubwa vya ku-handle mambo ya kiusalama, siyo wizi wa simu tu, hata terrorism.
Wapi hakuna Kambi za ku handle security issues hapa Tanzania? Acha utoto
 
Kati ya mwanza na chuga wapi karibu na nairobi..?? Mlijengewa madaraja na mwenda zake mbona hatumaind..? Watu wa kanda ya ziwa wabinafsi mno

Wapi umeona nimeitaja Chuga?
 
Hiyo ni sawa na kusema nyumba yako ingekuwa haina bati ungenyeeshewa na mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…