Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...

CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Mkuu huko Arusha unaenda kujengwa uwanja mpya na kama kuna ukarabati wa uwanja uliopo basi ni kwaajili ya mazoezi tu
 
Watu wenu wanakula milungura ya waarab unadhani nini kitafanyika tena huko?!!
 
Kote ni Tanzania ndugu.Punguza jazba hii siyo AFCON ya mwisho wakati mwingine tukipata nafasi ya kuandaa hiyo miji uliyotaja pengine nayo ikapata nafasi hiyo ya kujengewa viwanja tena Kwa wakati huo vikawa ni vikubwa na vizuri kuliko vya Sasa
 
Kote ni Tanzania ndugu.Punguza jazba hii siyo AFCON ya mwisho wakati mwingine tukipata nafasi ya kuandaa hiyo miji uliyotaja pengine nayo ikapata nafasi hiyo ya kujengewa viwanja tena Kwa wakati huo vikawa ni vikubwa na vizuri kuliko vya Sasa
Ubaguzi hauko tuu Afcon Bali kwenye nyanja nyingine nyingi tuu za Maendeleo
 
Enzi za mwamba alisema atakenga Chato uwanja kama wa Lupaso. Ikishindikana mtajengewa 2070 wakati tunashiriki kombe la Dunia.
 
JPM alikuwa wa Kanda ya Ziwa, miradi mingi ilitekelezwa huko mpaka viwanja vya ndege ambavyo havina matumizi kwa sasa. Mbeya mna Spika( kiongozi wa mhimili) na Mbeya ina miradi mingi ya ujenzi inaendelea kwa sasa. Hivyo kwa kutulia. Dar ndio mbabe wa mapato hapa nchini, utalii tuwaachie Kanda ya Kaskazini. Hivyo kaa kwa kutulia kabisa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hakuna mkoa wa kuulinganisha na dar, mikoa iliyobaki imeachwa na dar karibu kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…