Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya tunahitaji uwanja na kama ni nafasi ya Afcon ,Mbeya ilifaa kuliko Dodoma Kwa sababu kwanza ni rahisi kufikika na Nchi jirani.Dar: Jiji Kuu, Jiji la Biashara.
Mwanza: Jiji Kuu la Pili la Biashara.
Arusha: Kitovu cha Utalii Tz
Dodoma: Makao Makuu ya Nchi.
Zanzibar: Kitovu cha Utalii.
Mbeya: Wanapenda sana mpira.(Moro? Kigoma? Mtwara?)
Kibiashara Dar inatosha kutuwakilisha kulingana na ufinyu wa nafasi.
Dodoma, ni Jiji Kuu andaliwa, linahitaji promotion kubwa hakukuwa na namna ya kuliacha.
Arusha kwa nafasi yake katika Utalii hakuna namna ya kutomia fursa hii kulitangaza/halina mbadala.
Zanzibar ukizingatia Umaarufu wake duniani, na nafasi yake katika Utalii, hakuna MTU angeweza kuipoka nafasi hiyo akaeleweka. (inawezekana Zanzibar na Arusha zitafurika wageni wengi kuliko miji yote itakayoshiriki Afcon EA)
Katika hizo nafasi 4, Mwanza ingeweza kuisukuma Dodoma nje, lakini unyeti wa Dodoma kwa sasa unafanya ibaki hapo.
Mbeya haina nafasi kabisa hapo kwenye orodha, labda tungekuwa na nafasi sita.
Viwanja vinahitajika sana, hata kwetu Morogoro. Ajabu viwanja vingi vinapitia Ukarabati sijawahi sikia Jamuhuri-Morogoro. Kwa heshima yetu kama mkoa katika Soka, tunahitaji kiwanja Kipya cha Kisasa-Kiegea au Lukobe, au kwenye shamba la Mkonge Tungi, kukuza mji.
Kwenye uwanja uko sahihi 100%, mnastahili kuwa na kiwanja kizuri sawa na miji mingine, Dodoma, Arusha, Moro, Mtwara, Iringa, nk...Mbeya tunahitaji uwanja na kama ni nafasi ya Afcon ,Mbeya ilifaa kuliko Dodoma Kwa sababu kwanza ni rahisi kufikika na Nchi jirani.
Mbeya ipewe heshima yake Kwa sababu nilizoeleza hapo Juu ,tunataka uwanja ,mashindano hayajaisha.
Umenena mkuu, katika vigezo vya kuzingatiwa ili uwanja uwe umekidhi vigezo vya michezo ya kimataifa ni pamoja na kuwa na hoteli za kutosha za kitalii karibu na uwanja huo, hili ndio limesababisha Arusha kupewa nafasiDar: Jiji Kuu, Jiji la Biashara.
Mwanza: Jiji Kuu la Pili la Biashara.
Arusha: Kitovu cha Utalii Tz
Dodoma: Makao Makuu ya Nchi.
Zanzibar: Kitovu cha Utalii.
Mbeya: Wanapenda sana mpira.(Moro? Kigoma? Mtwara?)
Kibiashara Dar inatosha kutuwakilisha kulingana na ufinyu wa nafasi.
Dodoma, ni Jiji Kuu andaliwa, linahitaji promotion kubwa hakukuwa na namna ya kuliacha.
Arusha kwa nafasi yake katika Utalii hakuna namna ya kutomia fursa hii kulitangaza/halina mbadala.
Zanzibar ukizingatia Umaarufu wake duniani, na nafasi yake katika Utalii, hakuna MTU angeweza kuipoka nafasi hiyo akaeleweka. (inawezekana Zanzibar na Arusha zitafurika wageni wengi kuliko miji yote itakayoshiriki Afcon EA)
Katika hizo nafasi 4, Mwanza ingeweza kuisukuma Dodoma nje, lakini unyeti wa Dodoma kwa sasa unafanya ibaki hapo.
Mbeya haina nafasi kabisa hapo kwenye orodha, labda tungekuwa na nafasi sita.
Viwanja vinahitajika sana, hata kwetu Morogoro. Ajabu viwanja vingi vinapitia Ukarabati sijawahi sikia Jamuhuri-Morogoro. Kwa heshima yetu kama mkoa katika Soka, tunahitaji kiwanja Kipya cha Kisasa-Kiegea au Lukobe, au kwenye shamba la Mkonge Tungi, kukuza mji.
Mwanza mlibebwa sana na JPM, kaeni kwa kutulia, sasa ni zamu ya wengine.Huu upuuzi unataka kukisiri sasa ni wakati wa watu wa Mbeya na Mwanza kupaza sauti haiwezekani kila project kubwa hii mikoa inatengwa,imekua too much sasa,kama vipi tuwakatae hawa watu by 2025
Halafu kweli! Kila Rais huwa lazima akajipendekeze Kaskazini.Kaskazini tunabembelezwa kweli, nyie kanda ya ziwa mshaonekana manyaa... akiteuliwa msukuma mmoja mnapigia kura ccm kama mna wazimu
Ninyi wenyewe mnaotoka mikoa hiyo ndo hampendi kurudi makwenu, sasa hoteli zitoke wapiHii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.
Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.
Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.
Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;
Mwanza
- Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
- Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
- Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
- Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.
Mbeya
View attachment 2766225
- Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
- Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
- Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
- Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.
Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.
Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.
Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.
Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.
Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
View attachment 2766050View attachment 2766051View attachment 2766052
Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.Nachokonoa mada Kwa maslahi mapana ya Nchi hii na watu wa Mbeya na Mwanza.
Timu za kigoma na mbeya zitakuja kuweka kambii 😁Unajenga uwanja Arusha na Dom baada ya Afcon atatumia nani wakati hawana mzuka na mpira?
Umeshasema WA CCM, Sasa unategemea Kodi za wananchi wote ndio ikarabati kiwanja cha jamii Fulani!?!?Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...
CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Acha ushabiki ni kipi ambacho Mwanza inazidiwa na Arusha kwa habari ya kupokea wageni ? Arusha hata hospital ya Kanda hakuna. Sema mmependelewa kwa kuwa na makamu mwenyekiti wa chama dume. Mwanza ina population karibu mara mbili ya Arusha. Leo unatuambia eti Aruaha imeendelea zaidi wakati hotel kubwa nyingi huko Arusha ziko porini.Game nyingi sana za maana zimechezwa Arusha, na ule mji umeandaa mashindano na events kubwa za kimataifa na watu wake wamekuwa wenyeji wa matukio mengi sana ya kimataifa na mji ule unaweza hata sasa hivi kupokea wageni wengi wa caliber ya juu.
Msifananishe Arusha na mwanza, hayo ni mambo ya humu jamiiforums siyo kiuhalisia.
Zanzibar tena????ili waseme anapendelea kwao????Arusha ni mji bora na uliondelea kuliko mwanza. na ni mji wenye infrastructures bora kuliko Mwanza na mbeya combined.
Mimi nilitamani iwe Arusha, Dar na Zanzibar. Hiyo mikoa mingine imekaa kushoto.
Ukweli ulio wazi. Na hii italiingizia pato nchi kwa kiasi kikubwa maana watu wengi watatoka nje ya nchi na hivyo kusisimua uchumi.Ni mikoa iliyokaa kistrategia pia kwa kuwa ni rahisi kupata mashabiki wa nchi jirani nyingi kwa gharama nafuu kiusafiri. Ni rahisi kuifikia Mwanza kwa mashabiki kutoka Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Kongo DRC (upande wa Kaskazini Magharibi na hata baadhi ya maeneo ya Tanganyika Province), Sudani ya Kusini. Kadhalika ni rahisi kwa mashabiki kutoka Zambia, Malawi, Kongo DRC Mashariki, Zimbabwe, Msumbiji, Namibia, Botswana, na hata Afrika Kusini.