Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ukitoa wanasiasa wachache, kwa hivi sasa nchi hii anayekosoa bila kuogopa ni Pascal Mayalla peke yake!!
Pasco anakosoa akitumia jina lake kamili huku pia akipatikana kirahisi kwenye viunga vya Dar es salaam!
Mange anakosoa huku amejifungia kwenye undisclosed location!! Acheni utani nyie watu....
Point sana kwa maana jamaa pa kukosoa anakosoa kweli na pw kusifu anasifu namkubali sana sio mnafiki kama yule bi dada yeye kila kitu hapana na kutoa matusiUkitoa wanasiasa wachache, kwa hivi sasa nchi hii anayekosoa bila kuogopa ni Pascal Mayalla peke yake!!
Pasco anakosoa akitumia jina lake kamili huku pia akipatikana kirahisi kwenye viunga vya Dar es salaam!
Mange anakosoa huku amejifungia kwenye undisclosed location!! Acheni utani nyie watu....
Sasa kama.insta tu unaona ipo girlish, je snapchat je? Hayo ni mapenz ya mtu mkuu. Hata ma celebs wengi wa kiume kina messi, ronaldo,actors kibao wana insta accs??Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Ndo mwenyewe...anajiita akili kubwa kwenye avatar yake yupo le super madolezHuyo kwenye dp siyo le mpumbaz kweli?
Yeye ndo dictator mkubwa kwenye account yake. Hataki freedom of speech. Kublock watu wanaohoji maswalNdio yupo hivyo. Halafu yeye anashabikia freedom of speech.
Ukweli hakuna cha maana zaidi ya matusi lakini interest yangu ilikuwa kuonesha sio kwamba haogopi kama wanavyojaribu kuaminisha watu bali kwa sababu yupo kwenye safe heaven huku akiombea patokee any phyisical and emotional intimidation against her from possible govt agents ili hatimae a-play political asylum card!!Huyo Da Mange huwa anakosoa au huwa anatukana tu?
Mange hana uhakka na mambo anayoongea. Wajinga ndo wanampenda. Mm hawez kunicontrol akili yang. Akiongea uongo lazma nmwambie. Block ikanihusu.Ukitoa wanasiasa wachache, kwa hivi sasa nchi hii anayekosoa bila kuogopa ni Pascal Mayalla peke yake!!
Pasco anakosoa akitumia jina lake kamili huku pia akipatikana kirahisi kwenye viunga vya Dar es salaam!
Mange anakosoa huku amejifungia kwenye undisclosed location!! Acheni utani nyie watu....
Ukweli hakuna cha maana zaidi ya matusi lakini interest yangu ilikuwa kuonesha sio kwamba haogopi kama wanavyojaribu kuaminisha watu bali kwa sababu yupo kwenye safe heaven huku akiombea patokee any phyisical and emotional intimidation against her from possible govt agents ili hatimae a-play political asylum card!!
Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Avatar yako ni miongoni mwa wenye akili ndogo mkuu
Ebu mwambie na wew maana me sielewi anatak nn tuchangie
Exactly na ukiamua kumdaka leo leo unamdaka hata kwa kutumia mgambo!!Point sana kwa maana jamaa pa kukosoa anakosoa kweli na pw kusifu anasifu namkubali sana sio mnafiki kama yule bi dada yeye kila kitu hapana na kutoa matusi
Insta mpaka magufuli yupo je na yeye ni "girl"??
Matusi mazito kwa rais had itvUkweli hakuna cha maana zaidi ya matusi lakini interest yangu ilikuwa kuonesha sio kwamba haogopi kama wanavyojaribu kuaminisha watu bali kwa sababu yupo kwenye safe heaven huku akiombea patokee any phyisical and emotional intimidation against her from possible govt agents ili hatimae a-play political asylum card!!
Tatizo lako ni App au platform yenyewe?! Kama ulichokusudia ni platform yenyewe; tatizo lake nini?Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Mkuu umenena..Kwa kweli najisikia aibu kuingia page za mastaa uchwara wa bongo,lakini kwa Mange nilishindwa kujizuia.
Masha pamoja na uanasheria wake anamtumia Mange issue za kupost
Ukweli mchungu kwa Le Mutuz na Bashite.Salaaam wanajamvi.
Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi. Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za mange kimambi tu kisha wanalog out. Yaani kiufupi page ya huyu mwanadada aishie marekani inatembelewa mara nyingi sana. I presume inaweza ikawa most visited page kutoka audience/followers wa kitanzania.
Mange amekuwa akijikita sana kutetea wananchi, kukosoa serikali, kuwachamba wabaya wake wanaomchokoza, kupigania freedom of speech n.k.
Swali: Je haujawahi kuingia instagram na moja kwa moja ukasearch page ya huyu dada na uliposoma posts zake ukaridhika then ukalog out? Admit it .....