Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Jiandae kisaikolojia nkuu
Ujiandae wewe ambaye unaona huwezi chochote kwenye maisha yako, kiasi kwamba unaanimi ni watu wengine ndio wenye uwezo wa kuwa viongozi ila wewe unaona huwezi chochote, sad [emoji17]
 
Ujiandae wewe ambaye unaona huwezi chochote kwenye maisha yako, kiasi kwamba unaanimi ni watu wengine ndio wenye uwezo wa kuwa viongozi ila wewe unaona huwezi chochote, sad [emoji17]
Kila mtu akiwa kiongozi nani ata muongoza mwenzake?
 
Asante kwa kuni credit kama mwandishi original wa hii content
 
Makonda akiwa rais nitahama nchi nitaidharau sana Tanzania
Makonda ni shujaa kwa watu wenye akili nyepesi tu
Kiuhalisia Makonda ni dhaifu sana
Namna alivyokuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam alikupendezeni?
Kumbuka kwamba hakuwa rais na alikuwa vile je akiwa rais?
Kuna watu watapigwa risasi hadharani kwa amri yake ambayo ataitoa hadharani bila kujali

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli nae alikuwa ni dhaifu sana ambapo hilo ni tatizo
Udhaifu wa Magufuli upo katika kutotaka kukosolewa udhaifu huo umemgharimu pakubwa
Angeacha watu wajisemee wanavyotaka na apige kazi lakini awe na wajibu hoja zitakazoibuliwa
Ingewezekana kufufuka leo bado hafai kuwa rais kwa upande wangu
Magufuli pia ni shujaa wa wenye akili nyepesi

Wenye akili nyepesi huadaika kiwepesi wepesi
Kupitia wanasiasa wenye hoja nyepesi tu
Mfano mwingine wa watu wenye akili nyepesi ni waumini wa manabii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom