Ujiandae wewe ambaye unaona huwezi chochote kwenye maisha yako, kiasi kwamba unaanimi ni watu wengine ndio wenye uwezo wa kuwa viongozi ila wewe unaona huwezi chochote, sad [emoji17]Jiandae kisaikolojia nkuu
Kila mtu akiwa kiongozi nani ata muongoza mwenzake?Ujiandae wewe ambaye unaona huwezi chochote kwenye maisha yako, kiasi kwamba unaanimi ni watu wengine ndio wenye uwezo wa kuwa viongozi ila wewe unaona huwezi chochote, sad [emoji17]
Sio tapeliTuache utani mganga wa Makonda kiboko.
Ile kabila dogo [emoji571]Tushazoea, muda ndio mwalimu mzuri
Ndio atatoka kabila dogo, litawashangaza wengi...Ile kabila dogo [emoji571]
Wewe nabiii wewe
Nabii mwanamke kaziniNdio atatoka kabila dogo, litawashangaza wengi...